Nimemiss kinywaji cha yeboyebo

Nimemiss kinywaji cha yeboyebo

Mkuu umenikumbusha juice ya SAMVITA, ilikuwa bila Bi Mkubwa kunipa fedha ya hii juice tuition siendi now nina miaka 27.
 
Cow boy je?

unamaanisha cowbell au? hawa jamaa wa cowbell hadi leo bado wanakiki, wanaitumia ITV kutangaza biashara yao kwa miaka 10+ sasa kwenye ile tv show ya Watoto Wetu. huku kitaa zinapendwa sana.
 
mi niliinywa ila nimesahau ladha yake mkuu
 
Mwaka 2004 natoka moro nakuja dar, kufika chalinze kunajamaa alikuwa anauza, sasa mmi nikamuuliza shilling ngapi jamaaa akanijibu kuwa 300/400 kitu kma hicho sasa yule muuuzaji akaniuliza unanunua????, nikamjibu mm nilijua inauzwa shilling 100,ndio yule jamaaa akaniambia nipe nikupe, da wakati nampa jamaaa kanizuga mpka bus limeondoka, roho iliniuuumasana aiseee
 
Aiseeee
Na mm nimezikumbuka kweli yeboyebo leo!!!
 
Back
Top Bottom