Daaaah, mkuu umenikumbusha mbali sana wakati huo tukiwa shule ya msingi miaka ya 1980. Kwenda na uketo shuleni ukiwa kwenye mfuko wa kaptula ilikuwa kawaida sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.