My favorate! Siku naisikia ndo kwa mara ya kwanz baada ya intro napata fursa ya kulala usiku bila ma ovyo ovyo. Maafande walikuw kwenye disco wenzao wakipandishwa vyeo tukamwaga tee uwanjan!
I won't forget hako kawimbo alfajiri ya sa kumi na baridi LA mafinga jamani yale maisha daaa! Japo sometimes tulikuwa tunaona kawaida ila shikamoo jeshi siyo shirika la mkonge