Karibu sana mdogo wangu @LD,
Haki ya nani hii dunia haiko fair kabisa, yaani inatenganisha watu kiasi hiki?
Nimemkumbuka
Rose1980...mwambie arudi nyumbani bwana, kwani
Pearl huyo kaja juzi juzi na kutuchungulia.. Na
afrodenzi karudi ila mhh...anapatikana kwa manati...
Kuna dogo anaitwa
The Finest....duuuuh amekuwa ghali sana huyo dogo...Nashindwa hata kumpigia mapande!!
Halafu kuna
Fidel80, huyo mambo yake mswano!!
Ngoja wasije kusema kuwa Babu amebadilika na kuwa mmbeya!!
Babu DC!!