Ahii mi bado nipo kitaa ndugu zangu, hakuna mtu aliyechoka Ubachela aje tufanye mipango tuishi?
hahahahahaha.........
kwamba na wewe unatafuta Mchumba??:becky::becky:
ngoja nimtafute FALUJA!
he he.....umekuwa mkaidi ujue....kwa nini dada mkubwa akikuita huwa huitiki....? tuanzie hapo kwanza......
dah mambo ya Mike tyson yanaweza fika hadi huku ujue.......ni mimi Lily Flower za siku shoga angu. Nimekumisije sasa?
Sasa LD hebu come this way hata mie kitaa kimenichoshaAhii mi bado nipo kitaa ndugu zangu, hakuna mtu aliyechoka Ubachela aje tufanye mipango tuishi?.
Unataka ufundishwe kuweka kidude?ohh....niveae? safi nitamtafuta mbona hamtaki kunifundisha kuweka kile kidude cha mention......ahii