Nimemgundua hataki kutoka na mimi

Nimemgundua hataki kutoka na mimi

Unatumia nguvu nyingi sana kumpeleka ng'ombe bandani... kiurahisi weka majani mazuri bandani...
 
Mtumie kwanza m pesa kama 100,000 halafu usimpigie simu wala kumtumia SMS yoyote baada ya kumrushia hiyo pesa then kitakachofuata uje ulete mrejesho hapa
 
The last time i checked nilikuta mapenzi hayalazimishwi.SIJAJUA HALI YA SASA KUWA MAPENZI YANAPASWA KULAZIMISHWA AU LA.
 
Kashajua unataka kumkula mkuu ndio mana anakukwepa halaf kingine hakupendi huyo mdada
 
Ni hodari wa kuniambia ananipenda na kutumia maneno ya kimahaba kama honey, baby, habiby lakini ninapojaribu kutaka kutoka nae kila siku hupeke siku mbele mfano leo kataka tuonane mwisho wa mwezi wa 10 na hata siku ikikaribia sababu hazimalizi mara anaumwa mara yupo kwenye siku zake kiasi kwamba mpaka ninashindwa kuelewa lengo lake.

Nitumie njia gani ili niweze kutoka nae au nijue lengo kuu lake yeye kwangu mimi?
Una umri gani mkuu!??
BTW tafuta kwanza pesa watakuja wazuri zaid ya hao
 
Mtumie kwanza m pesa kama 100,000 halafu usimpigie simu wala kumtumia SMS yoyote baada ya kumrushia hiyo pesa then kitakachofuata uje ulete mrejesho hapa
Nishatumia hy trick haikuzaa matunda
 
Hili andiko lako si la nchi hii,yaan umempa kubwa,...ni sawa u summarize gazet kwa sentensi 1.umetisha,...mwambie huyo boya analia lia
[emoji23] [emoji23] nilikuaga bingwa wa kufupisha secondary[emoji23]
pale mwalimu anapokupa ukurasa mzima fupisha kwa maneno 25

yawezekana huyu ni mbaba lakini analia lia tu...aache kupambana na ukweli
 
Back
Top Bottom