Nimemgundua hataki kutoka na mimi

Nimemgundua hataki kutoka na mimi

Mtumie kwanza m pesa kama 100,000 halafu usimpigie simu wala kumtumia SMS yoyote baada ya kumrushia hiyo pesa then kitakachofuata uje ulete mrejesho hapa
Hiyo nyingi mkuu atume 30000 tu
 
Kwani wanawake wameisha?tafuta mwingine tika naye out!
 
Back
Top Bottom