Nimemfumania mke wangu, nifanyeje?

Nimemfumania mke wangu, nifanyeje?

Sijapenda story yako ingawa imenichekesha kwa rafudhi yako ya nikamkuta hayupo. Pamoja sana broo
 
Siku ukimfumania hapa utaandika hata paragraph huoni tena!
 
Mi nmecheka hapo kwenye "nikanyata nyata".
 
hahah nimechekka tu....ila ukakasi niliona pale ulipoenda mcheki rafiki yako af akawa hayupo....hii sio 1986 ambayo tunaenda bila taarifa ya simu
 
Yaani Mods Pumba kama hizi ndio za kuacha Jukwaa la mapenzi?? au mmefukuza wahariri
 
Hiyo nyumba ipoje ambayo unaanza kuingia chumbani bila kupitia sebleni?
 
We ni mpuuzi, unapoandika ‘nimemkuta hayupo’ unamaanisha nni? Rudi la6
 
Back
Top Bottom