Nimemfumania mke wangu, nifanyeje?

Nimemfumania mke wangu, nifanyeje?

Hiyo nyumba ipoje ambayo unaanza kuingia chumbani bila kupitia sebleni?
nilifupisha tu maelezo, sikutaka kuelezea kila details.
nikafungua mlango, nikavua viatu, nikafunga mlango, nikageuka,... ulitaka niandike ivo mkuu?
 
Very interesting, mwambie aitapike hiyo nyama alafu uirudishe kwenye mchuzi.
 
habari wadau,

leo asubuhi saa 3 wakati tukiwa nyumbani mie nlimwambia mke wangu kuwa nitaenda umtembelea rafiki yangu na hivyo nitarudi mchana kuja kula nyumbani.

nlipoenda kwa rafiki yangu nikamkuta hayupo, hivyo ikabidi nirejee nyumbani saa 5 asubuhi.

nlipofika nyumbani nkasema ngoja nimfanyie suprise mke wangu, nikafungua mlango kimya kimya na kuingia ndani.

nikawa na nyata nyata hadi chumbani, ila nikamkuta hayupo chumbani.

nika nyata nyata tena hadi sebuleni, napo pia nikamkuta hayupo.

nika nyata nyata tena hadi chooni, pia nikamkuta hayupo.

nikajua itakua yupo jikoni labda anapika,, nika nyata nyata hadi jikoni ndipo nlipomfumania akiwa anadokoa nyama kwenye mchuzi.

sisi nyumbani huwa tunakula nyama siku za holiday tu, imeniuma sana kwa kweli.
Kipengele cha umri kirudi
 
Endelea kumfumania naona itapendeza zaid...
 
wasukuma ndo wanaongoza kwa kutokujuw kiswahili hawa ndo waliotuletea ga zisizo na maana naimbaga, nakulaga hata yule chief wao hajuw kabisa
 
Back
Top Bottom