hahahahaha hongera basi kwa kumfuma ila kumbuka ukisafiri jirani huwa anaonja
Mbili bana yani nimeumia mbaya na ngiri imenishikaBrazil kashaa banduliwa ngapi bandungu???
Brazil kashaa banduliwa ngapi bandungu???
Mbili bana yani nimeumia mbaya na ngiri imenishika
Hapo alishaliwa tayari alitoka kujiswafu lakini angewahi kama dk2 angmkuta jaa ndio anafunguliwa mlago atoke
umeona eeh kitaozaje wakati jirani yupo
Isitoshe ameikuta imepigwa udi, ajiulize kwa nn
Mbili bana yani nimeumia mbaya na ngiri imenishika
Yani nilivyorushika roho, nikadhani ushamtoa mtu roho kumbeee
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums