Nimemfumania mke wangu live bila chenga

Nimemfumania mke wangu live bila chenga

Status
Not open for further replies.

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Kumfumania mke na mwanaume mwingine kimahaba inakera kuliko jambo lolote hapa duniani na usipokuwa mwangalifu unaweza kujikuta unafanya maamuzi ya ajabu kwa kujeruhi ama kuua hatimaye kujikuta unaozea jela na kuacha wengine wakiendelea kufaidi na wife wako.
Mimi mwenzenu nimemfuma wife wangu kipenzi cha moyo wangu akinisubiri kwa hamu baada ya kutoka safari akiwa na kanga moja akiwa na tabasamu nono hadi raha.
 
Yani nilivyorushika roho, nikadhani ushamtoa mtu roho kumbeee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yani nilivyorushika roho, nikadhani ushamtoa mtu roho kumbeee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nilijua tu wengi mtafungua haraka mkidhani ni fumanizi la hatari. Wengine mpaka wamechukia. Teh teh teh!
 
Kama huna kazi ya kufanya kakojoe nje ulale ndo unaandika utumbo gan kujaza mauchafu tu!watu kama nyie ndo mnarudisha uchum wa watu na Nchi kwa ujumla.
 
hahahahaha hongera basi kwa kumfuma ila kumbuka ukisafiri jirani huwa anaonja
 
Polee, chungulia uvunguni...ukute mgoni kajificha hukooo!
 
...kunamtu ametoka kabla hujafika akaamua kubaki na kanga...
 
Simtaki demu wa kitanga jioni moja kanga mabusu na mashanga demu nayomtaka ni manka wa kichaga jioni ananiuliza umeingiza sh ngapi?
 
umefika muda mods hili jukwaa waligawe katika madaraja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom