Hutaki ushauri? Umekuja hapa kufanya nini? Au na wewe ni ndugu yke kisanduNaomba nisipoteze muda, direct to the point.
Leo asubuhi mida ya saa 12 hivi nimetoka kazini maana nilikuwa night shift. Ile nafungua mlango nashangaa uko wazi, nikaamua kuusukuma ili niingie.
Hamadiiii namkuta dada yangu kama alivyozaliwa akiwa na mwanaume ambaye ni jirani yetu.
Nimeshindwa cha kufanya aisee nimewafungia ndani nikaenda kuazima shoka kwa jirani nataka nikate mguu mmoja aisee. Sitaki ushauri.
hahaha upo mpk hukuSjajua shida ni ipi kati ya hz mpka ukate mtu Mguu
1.Dada yako Kulala na mwanaume kitandan kwako
2.Dada yako Kupigwa Mambo
3.Mwanaume Jiran yenu kumla dada yako