Nimemfumania BABA MZAZI NA KISHOSTI

Nimemfumania BABA MZAZI NA KISHOSTI

Mshua aliyeyuka gafla baada ya kumdaka live bila chenga akitoka na kaunder 25 gesti wakati nami napata kasupu hapa mjini. Kawa mpole mbaya ila imenikera. Sijui nikamwabie maza au nimkomalie aninunulie uwanja hapa town.. lazima kitaeleweka tuu kwani nimepiga hadi picha. Ubabe wake kwishney. Sio nafurahia ila hii ni opportunity kutokana na ubabe wake na ninampa onyo kali...akirudia naenda kusema kwa mama

Unampiga picha baba yako akiwa faragha na mama yako mdogo!!!!!!!!!. Unatafuata laana wewe dogo jinga
 
Mambo mengine muachie baba na mama, Nyambaf............
 
Mshua aliyeyuka gafla baada ya kumdaka live bila chenga akitoka na kaunder 25 gesti wakati nami napata kasupu hapa mjini. Kawa mpole mbaya ila imenikera. Sijui nikamwabie maza au nimkomalie aninunulie uwanja hapa town.. lazima kitaeleweka tuu kwani nimepiga hadi picha. Ubabe wake kwishney. Sio nafurahia ila hii ni opportunity kutokana na ubabe wake na ninampa onyo kali...akirudia naenda kusema kwa mama

ukimfumania Baba yako unabaki kimya na una assume hujamwona... how old are u?
 
Hata ukiuwa wajinga wote...ukipima akili za werevu kuna wa kwanza hadi wa mwisho ambaye ni mjinga wa mwisho. Nafikiri umenielewa mwana mkosa malezi.
 
Jifanye unamjua sana na unataka kutengeneza siri, eti akununulie uwanja, ile kitu inasimamaga tu, badala ya shosti utagongwa wewe. Mzazi wako huwezi kufikia hatua ya kumpiga picha ili iweje?
 
Ukimfumania baba yako hata na mlemavu ,ndio mama yako huyo wa kambo ,full respect
Mkuzi Avatar uliyotumia na mawazo yako ! unamdhalilisha huyu mtu anayeheshimu haki za binadamu....kwa nini unadharau watu wenye ulemavu kiasi hiki.....hata na mlemevu,kumbuka huyu unayemwita MLEMAVU NI MTU TU! HUO ULEMAVU WAKE HAUMWONDOLEI UTU WAKE .....KWA DHARAU ULIYONAYO YAELEKEA UNA BIMA YA KUJIKINGA NA ULEMAVU!
 
Baadae atajipanga amfumanie mama yake ili anunuliwe matofali. By the time anamfumania mkewe nyumba itakuwa kwenye finishing.

haaaaaa haaaaaaa mambo ya Jf hayo raha tupu!!!

acha na me nimalizie, atasubiri pia kama ana mtoto wake akue aanze kumfuatilia ili nae amfumanie then anunuliwe gari
 
Sidhani kama kuna ukweli wowote katika hili
.......Kikwetu.....huruhusiwi hata kusema.........hata kama angekuwa kampachika Mimba mke wako......unafunga mdomo...........Inaonekana wewe.....NI MTOTO WA MAMA..........badala ya kufikiria namna ya kununua kiwanja kwa jasho lako/KUPATA MALI........unataka kumtapeli mzee wako........ Ni vema ukaacha tabia ya kumchungulia baba yako..........inawezekana MAMA yako ndio kachangia ...................mpaka baba kwenda kutafuta sehemu ya kupumulia

Mtoto Mpotevu, una mambo mazito eeeh ....
 
Kama n msomaji wa biblia utanielewa ni hivi, kama. Utapata kiwanja kupitia zinaa ya mzaz wako hakika utaishia pabaya kama s wewe itakula kwa wanao.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom