Nimemfumania BABA MZAZI NA KISHOSTI

Nimemfumania BABA MZAZI NA KISHOSTI

Mshua aliyeyuka gafla baada ya kumdaka live bila chenga akitoka na kaunder 25 gesti wakati nami napata kasupu hapa mjini. Kawa mpole mbaya ila imenikera. Sijui nikamwabie maza au nimkomalie aninunulie uwanja hapa town.. lazima kitaeleweka tuu kwani nimepiga hadi picha. Ubabe wake kwishney. Sio nafurahia ila hii ni opportunity kutokana na ubabe wake na ninampa onyo kali...akirudia naenda kusema kwa mama

P. u. mbavu kabisa..............
Unaweza kumfumania baba yako ww???? Umekuwa mke wake!!!!! Mtu pekee anayeweza kujinadi kamfumania baba yako ni mama yako. Wewe ulipaswa kusema nimemuona baba akiwa na mama mdogo.
 
Short and clear.

Baba hafumaniwi, anaonwa akiwa na mama mdogo. Quote of the Year
 
Ukimfumania baba yako hata na mlemavu ,ndio mama yako huyo wa kambo ,full respect

Asante sana mkuzi,rafiki wa kike wa baba yako ni mama yako na rafiki wa kiume wa mama yako ni baba yako!Mheshimu huyo hata kama ni under 25 ni mama yako!
 
Last edited by a moderator:
ulikuwa unasubiri umfumanie mdingi upate plot....anza kujitegemea acha kusubiri fadhila

Baadae atajipanga amfumanie mama yake ili anunuliwe matofali. By the time anamfumania mkewe nyumba itakuwa kwenye finishing.
 
Mshua aliyeyuka gafla baada ya kumdaka live bila chenga akitoka na kaunder 25 gesti wakati nami napata kasupu hapa mjini. Kawa mpole mbaya ila imenikera. Sijui nikamwabie maza au nimkomalie aninunulie uwanja hapa town.. lazima kitaeleweka tuu kwani nimepiga hadi picha. Ubabe wake kwishney. Sio nafurahia ila hii ni opportunity kutokana na ubabe wake na ninampa onyo kali...akirudia naenda kusema kwa mama
sawa Aslei,kaseme
 
halafu mwanaume hafumaniwi....bali anakutwa....sawa?
 
Mbona wote mnamshambulia mshkaji!! kwa hiyo alichokifanya huyo dingi ni sahihi?! ........ nilichokiona huyo dingi anajidai kauzu na ndicho kinachomkera jamaa.
 
Umenichekesha eti umemfumania mdingi ulikuwa unamuwinda? Bure kabisa wewe unapenda dezo eti anunue kiwanja? Tafuta vyako na mdingi hujamfumania umemwona akitoka guest sijui lodge kwa bahati mbaya
 
Mbona wote mnamshambulia mshkaji!! kwa hiyo alichokifanya huyo dingi ni sahihi?! ........ nilichokiona huyo dingi anajidai kauzu na ndicho kinachomkera jamaa.

Wewe acha kutetea ujinga huyu kijana inaonyesha hataki kufata masharti ya mdingi ndo maana anaona mdingi so hana lolote mzazi wako unamwita kauzu akili matope hiyo?
 
P. u. mbavu kabisa..............
Unaweza kumfumania baba yako ww???? Umekuwa mke wake!!!!! Mtu pekee anayeweza kujinadi kamfumania baba yako ni mama yako. Wewe ulipaswa kusema nimemuona baba akiwa na mama mdogo.

DA like this post and call it post of the year
 
Sasa wewe unahusikaje katika kumfumania mdingi wako? Kwani ulikuwa unamuwinda? Kuna mtu kasema hapa kwamba huyo uliyemwona naye ndiye mama yako (wa kambo) unatakiwa kumheshimu!

Niseme tu anayetakiwa kumfumania baba yako ni mama yako na si mtu mwengine! Maana huwezijua kule home pengine maza tena kashatinga katika ule umri sijui unaitwa menopose eti watu8 au Lady doctor
 
Last edited by a moderator:
Kaka hilo linafahamika.... mbona mambo yataenda... respect ipo pale pale... kiwanja atatoa mkuu... mie pia nimchakarikaji...akinipa kiwanja ndani ya miezi 3 naweka banda......

mbona umeng'ang'ania sana kiwanja? kwako ndo mpango mzima? sasa unasema una maelimu ya kutosha hayo hayakuwezeshi kutafuta vyako? muongo wewe
 
hah ah ah h nimecheka sana eti naenda kusema kwa mama.
hah ahhahaha jf raha tupu.
 
kufumania? Kwani ni mumeo au mkeo umemfumania? Ww sema umemkuta/umemuwona na ....
 
kwahyo unataka kutuambia demu wako saivi ndo mama yako wakambo LOl
 
Back
Top Bottom