Nimemfumania BABA MZAZI NA KISHOSTI

Nimemfumania BABA MZAZI NA KISHOSTI

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
712
Reaction score
332
Mshua aliyeyuka gafla baada ya kumdaka live bila chenga akitoka na kaunder 25 gesti wakati nami napata kasupu hapa mjini. Kawa mpole mbaya ila imenikera. Sijui nikamwabie maza au nimkomalie aninunulie uwanja hapa town.. lazima kitaeleweka tuu kwani nimepiga hadi picha. Ubabe wake kwishney. Sio nafurahia ila hii ni opportunity kutokana na ubabe wake na ninampa onyo kali...akirudia naenda kusema kwa mama
 
Sidhani kama kuna ukweli wowote katika hili
.......Kikwetu.....huruhusiwi hata kusema.........hata kama angekuwa kampachika Mimba mke wako......unafunga mdomo...........Inaonekana wewe.....NI MTOTO WA MAMA..........badala ya kufikiria namna ya kununua kiwanja kwa jasho lako/KUPATA MALI........unataka kumtapeli mzee wako........ Ni vema ukaacha tabia ya kumchungulia baba yako..........inawezekana MAMA yako ndio kachangia ...................mpaka baba kwenda kutafuta sehemu ya kupumulia
 
Mshua aliyeyuka gafla baada ya kumdaka live bila chenga akitoka na kaunder 25 gesti wakati nami napata kasupu hapa mjini. Kawa mpole mbaya ila imenikera. Sijui nikamwabie maza au nimkomalie aninunulie uwanja hapa town.. lazima kitaeleweka tuu kwani nimepiga hadi picha. Ubabe wake kwishney. Sio nafurahia ila hii ni opportunity kutokana na ubabe wake na ninampa onyo kali...akirudia naenda kusema kwa mama
Haya Chap chap! taja umri wako!!!!????
 
Katafute hako ka demu ukale kisha mzee ajue live upo nae uone reaction yake
 
Ha ha ha umenikumbusha ule wimbo wa dogo ASLAY nakusemea kwa mama....
 
Huyo ni baba yako, mpe heshima yake. Mzazi ni mzazi, na wao pia ni wanadamu wanakosea ki-binadamu. Jiulize hili; je ukimwambia mama yako itajenga au kubomoa familia na ndoa ya wazazi wako? Unajuaje "utakatifu" wa mama yako? Wapo wengi wanaoshuhudia mabaya ya wazazi wao lakini wanakaa nayo na kuyaelewa. Ukiwa kama mtoto wa kiume hutakiwi kuwa reactionary. Tuliza mpira kijana, maisha haya.
 
Uwe na KIFUA weweee mtoto wa kiume!!!! Masuala ya Baba na Mama ni yakwao.......Tulia kama hujaona...
 
dogo wenzako wwameanza pepa jana, leo wanamaliza anza kujiandaa pepa za zinakribia! sio kukalia kuropoka ya wakubwa zako!
 
Huyo ndiye mama yako mdogo,shukuru kumfahamu japo si kwa njia rasmi! Pili tabia ya kumblackmail mzazi kwa uvivu wa kujitegemea uache!
 
Mkuu we mtoto wa .com nini?
Yani kwanza hicho ulichokiona ni vitu ambavyo unatakiwa uombe usione! Ni laana zaidi kuona live ama kusema.
Kuwa mdogo huyo ni baba yako aliyekuzaa wewe!!
Kama baba ataonekana na aonekane ila wewe huwezi kuingilia mambo kama hayo kwa wazazio ni laana mkuu.
Halafu unataka kublackmail? Dah kweli hiki ndo kizazi cha nyoka hasa.
 
Huenda mama yako anajua kila kitu ila ameamua kukaa kimya kuilinda ndoa yake... Sasa ukienda kusema sijui itamnufaisha nani kati yenu?
 
Haya Chap chap! taja umri wako!!!!????

Acha noma mkuu, mie mtu mzima na maelimu yangu yakutosha...opportunity kaka...mbona kashanitumia sms tuyamilize... hapa lazima kiwanja kitoke.... najua atakua amempa saluni basi nami lazima anipe kiwanja..chezea mimi wewe
 
Huenda mama yako anajua kila kitu ila ameamua kukaa kimya kuilinda ndoa yake... Sasa ukienda kusema sijui itamnufaisha nani kati yenu?

Kaka maisha...hapa lazima aniandikie title deed ya kiwanja......na lazima atatoa hata kama maza anajua
 
Kama si wazazi wangu kunielea vizuri katika maadili mema labda ningekuwa na ujasiri wa hicho unachotaka kufanya.
 
Mkuu we mtoto wa .com nini?
Yani kwanza hicho ulichokiona ni vitu ambavyo unatakiwa uombe usione! Ni laana zaidi kuona live ama kusema.
Kuwa mdogo huyo ni baba yako aliyekuzaa wewe!!
Kama baba ataonekana na aonekane ila wewe huwezi kuingilia mambo kama hayo kwa wazazio ni laana mkuu.
Halafu unataka kublackmail? Dah kweli hiki ndo kizazi cha nyoka hasa.

Kaka hilo linafahamika.... mbona mambo yataenda... respect ipo pale pale... kiwanja atatoa mkuu... mie pia nimchakarikaji...akinipa kiwanja ndani ya miezi 3 naweka banda......
 
dogo wenzako wwameanza pepa jana, leo wanamaliza anza kujiandaa pepa za zinakribia! Sio kukalia kuropoka ya wakubwa zako!

hahahahaha.... Haya bana mie nlimaliza 1992 paper ya ngazi hiyo
 
Back
Top Bottom