Nimemfumania BABA MZAZI NA KISHOSTI

Nimemfumania BABA MZAZI NA KISHOSTI

we unajua walikutanaje na mama yako ama wameelewana nini??
 
We zee zima kabisa bado unalala kwenye nyumba ya baba yako na mama yako, Hama bwana uwaachie maisha yao, we anza kivyako!! Mambo ya Wazazi wako hayakuhusu, kwani ulikuwepo wakati wanakutana mpaka utafute kuwa shahidi leo!!
 
uwasilishaji wa fumanizi lako
unanipa mashaka kuamini kua limetokea kweli
 
Muache baba yako........we fata yako na we dili na yako............

hela ya matumizi nyumbani hamuachii mama ako!!!!!!!!!!!
 
Kaka hilo linafahamika.... mbona mambo yataenda... respect ipo pale pale... kiwanja atatoa mkuu... mie pia nimchakarikaji...akinipa kiwanja ndani ya miezi 3 naweka banda......


Si dhani km ww uko sawa, may be njooo uombewe huku kwa MZEE WA YESU waweza funguliwa ufahamu wako naona umeganda
 
Blackmailing ur own father? You can easily kill for sure!
 
watoto waliozaliwa kwenye mataa ndizo zao. kaseme kama hujalala juu ya mti
 
Porojo nyingine! Labda alikuwa anasikiliza wimbo wa Asley akamgeuzia baba yake....
 
Mchomoe pesa mwaya hata ingekuwa ni mie ningemganda anipe ili nisiseme.....
ila ndo kaa ukijua nae atakuwa anakuwinda na siku akikufuma utamkoma!!!!
 
Mshua aliyeyuka gafla baada ya kumdaka live bila chenga akitoka na kaunder 25 gesti wakati nami napata kasupu hapa mjini. Kawa mpole mbaya ila imenikera. Sijui nikamwabie maza au nimkomalie aninunulie uwanja hapa town.. lazima kitaeleweka tuu kwani nimepiga hadi picha. Ubabe wake kwishney. Sio nafurahia ila hii ni opportunity kutokana na ubabe wake na ninampa onyo kali...akirudia naenda kusema kwa mama

Mzee wako hakufanya kitu kizuri, ila kwa maelezo yako inaonekana na yeye pia amejisikia vibaya. Sidhani kama atarudia tena. Wewe kama mtoto hutakiwa kusema chochote kwa mama, unaweza kusababisha ndoa ya wazazi wako ivunjike na wadogo zako na ndugu zako waanze kuteseka. Kauka tu mkuu.
 
yaani we kweli mbulula! umfumanie baba ako kwa we ndo mke wake? anayefumania ni mke au mume tu! we sema umemuona yuko na demu. Pili inaonekana hata jando hujaenda wewe ndo maana huna adabu huwezi kumuanika baba yako hapa eti ili upate uwanja alafu nyambafu kabisa!
 
Mshua aliyeyuka gafla baada ya kumdaka live bila chenga akitoka na kaunder 25 gesti wakati nami napata kasupu hapa mjini. Kawa mpole mbaya ila imenikera. Sijui nikamwabie maza au nimkomalie aninunulie uwanja hapa town.. lazima kitaeleweka tuu kwani nimepiga hadi picha. Ubabe wake kwishney. Sio nafurahia ila hii ni opportunity kutokana na ubabe wake na ninampa onyo kali...akirudia naenda kusema kwa mama

Baba hafumaniwi na mtoto.
 
Hivi kizazi kikoje lakini??? Unajua maana ya kufumania au unajisemea tu hapa? Maana halisi ya kufumania (kwa muktadha wa mapenzi) ni kumkuta mtu ambae UNA VESTED INTERESTED ya kimapenzi NAE - kwamba anakunyima haki yako kwa kugawa penzi nje ya utaratibu.

Sasa mleta maada anadai "kamfumania" baba yake; kweli??!!!
 
Hivi wewe umekaa sawa sawa kweli?
Kwanza hili neno kufumania ninavyolifahamu mimi ni aidha mke/mume kumkuta mumewe/mkewe akizini. sasa wewe ni mke wake?
Ukimwambia mama yako kuhusu hilo na ikatokea yake baba yako akaamua kumpiga talakaa mama yako.
Jee utamtunza mama yako kwa kila kitu?
 
Achana na habari ya kufuatilia maisha ya dingi wewe.
 
Baba yako akiingia hapa JF atakulaani kweli kwa kumuanika uchiii........................!:doh::A S angry:
 
Back
Top Bottom