St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,195
Nipo na huyu msichana wangu kwa miaka mitatu sasa tukiwa na maisha ya furaha na amani sana. Lakini hafla namuona ameanza kubadilika kitabia na maneno ya kiuongo uongo kila siku zikenda. Mimi na yeye hatufichani mambo yetu simu, email fungua za mjengo wangu pia anazo ila yeye anakaa kwao bado.
Kuona mabadiliko yamekuwa mengi ndio nikaanza kujiuliza kulikoni kwa huyu mwenzangu mpaka amebadilika hivi? Manake hata simu yake sikuhizi hataki iguswe. Na ikitokezea kuiguza huruka kama paka vile, nikaona acha niongee na shoga yake wa karibu. Huyu shoga yake ndio akanipa filamu yote kuwa kuna huyu mwalimu wa chuo anamsumbua sana kwa muda mrefu na amefikia kumpa kazi ngumu na kujaribu kumfelisha baadhi ya matokeo.
Huyu mwalimu amemuanza kumtaka zamani sana tu na alikuwa na msimamo wa kumkataa sasa kuona anacheza na kumharibia kwenye masomo yake. Ameanza kulegeza kamba juzi tulipanga weekend hii kutoka kwenda samaki samaki na movie alikubali jana amenitumia sms amesema hatoweza kuja.
Sijataka kumuuliza kwanini kwasababu hii sio kawaida yake ndio nikamtext best wake akaniambia kuwa amepanga na mwalimu wa chuo watoke na akanitajia wanapokwenda. Kwa kweli iliniuma sana kusikia vile lakini nikasema acha nihakikishe kama kweli, nikawapigia washkaji zangu simu na mjomba wangu huyu anakaa mitaa ya Temeke.
Kufika siku ya jana ndio tukaanza safari mimi, mjomba wangu na rafiki zangu watatu sote tukiwa 5 tukafika beach flani. Tukashuka na kuanza kumuangaza huku na huko baada ya kama dakika 15 tukamuona amekaa pembeni yeye na huyu mwalimu wa chuo, wao hawajatuona wamekaa wakiongea.
Rafiki yangu mmoja akasema twendeni palepale walipo na kumuuliza msichana wangu anafanya nini pale? Mjomba wangu akasema hapana tuzungukeni halafu tupite mbele yake na tuwasalimie tu.
Tukafanya kama alivyosema huyu mjomba wangu kuwafikia karibu huyu msichana wangu alituona na kunyanyuka na kunifata, Hawa washkaji zangu wakamfata yule mwalimu na kuanza kumshambulia huku mmoja wao akisema lete kilainishi tumgegede huyu ngese si anajifanya kidume yeye.
Tulimuacha yule mwalimu pale beach na majeraha na kuondoka na msichana wangu nikampeleka mpaka kwao. Sasa huyu msichana wangu ndio anafunguka na kunipa mwanzo mpaka mwisho tulipo wakuta kama hajafanya nae kitu. Na shoga wake amesibitisha kuwa kweli hajafanya kitu na huyo mwalimu bado na siku hio ilikuwa ndio mara yao ya mwanzo kutoka.
Demu wangu tokea jana mpaka sasahivi ananitumia sms za kuniomba radhi nimsamehe, lakini mimi nimemjibu text yangu fupi tu. Nakutakia mafanikio mema na maisha mema. Jee kaka zangu na dada zangu wa JF mnanipa ushauri gani juu ya hili jambo?