Nimemeza tunda ya Ubuyu. Je, kuna madhara nitayapata?

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,595
5,489
Habari zenu wanajf,

Napenda kuuliza, mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya.

Je, nifanyaje ili kuweza kuitoa?

Nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani
 
Habari zenu wanajf,napenda kuuliza mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya,Je nifanyaje ili kuweza kuitoa,nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani
Mbuyu utaota tumboni kwako
 
Afadhali mibuyu iongezeke. Upo wapi tujiandae kuja kuchuma ubuyu.
Harafu huo mbuyu ukiota utastawi sana kulingana na mbolea iliyopo humo tumboni.
 
Parapanda italia parapanda
parapanda italia parapanda
na mtoa mada atakuwa amekwisha.......................... 😂😂
Kweli jamii forum sasaivi imekuwa yakitoto sana,Mkuu kifo ni njia yetu sote hatuwezi kimbia kifo,nikiwahi mie basi ipo siku nawe utatangulia tu
 
Mkuu fafanua kidogo. Mwezi uliopita mtoto was miaka minne alimeza mbegu ya ubuyu akafa na amezikwa. Kilangila.
Itakuwa ahadi yake ilishafika,Ila aliyeimeza kwa leo ni mtu mzima kabisa mwenye uelewa wake
 
Mkuu fafanua kidogo. Mwezi uliopita mtoto was miaka minne alimeza mbegu ya ubuyu akafa na amezikwa. Kilangila.
mimi sifafanui kitu ila andika usia ndugu yangu huo ndio ushauri wangu wa bure kwako...hizo mbegu zina sumu kali sana..na sumu yake haina dawa kabisa.
 
Pole sana naona ushaimbiwa parapanda.

Hakuna madhara yoyote kiafya kwa kumeza tumba/mbegu so long inapita kooni.

Ondoa shaka.
 
Nenda uishi karibu na warumi.Anapenda sana ubuyu.
LA MUHIMU.
Usihofu.Hiyo mbegu itatoka kwa njia ya haja kubwa.
 
Back
Top Bottom