Nimemeza flagin.

Nimemeza flagin.

Gloriamagret

Member
Joined
Jun 12, 2023
Posts
47
Reaction score
155
Tumbo limechafuka nikameza flagin asubuhi.mchana likatulia kabisa.sasa natakiwa nikae muda gani nianze kunywa pombe.mimi ni mpenzi wa konyagi.siwezi kulala bila kupata kale kachupa kadogo kwa ajili ya usingizi.kuburudika.kuondoa mafua.covid nk.
 
Ukinywa usiku utapata jibu sahihi kutoka kwenye dawa.
 
Tumbo limechafuka nikameza flagin asubuhi.mchana likatulia kabisa.sasa natakiwa nikae muda gani nianze kunywa pombe.mimi ni mpenzi wa konyagi.siwezi kulala bila kupata kale kachupa kadogo kwa ajili ya usingizi.kuburudika.kuondoa mafua.covid nk.
Km umejiandaa kufa,kunywa sahivi!
Tubu kabisa Ili usiende kuzimu mwaya
 
Flaggy ni nyoko mkuu ingekuwa panado ingekuwa afadhali hapo tuliza mshono Hadi kesho
 
Ongeza adhuma changanya na hanson cchoice kubwa nya kubwa mbili dada yangu hio thitimu kutoka kochwan had yesu arudi fanya hivyo mi naanza kukusanya ramb rambi
 
Nimewaza tuu process ya kifo..Nyie kufa kuna maumivu acheni..yani kuna ile hali unapitia kwny mwili hakuna mtu anaejua unayoyapitia..juzi bana nimeenda kwny kuvunja kikoba sijui kile chakula ilikua ni ajee...yani usiku maumivu yalivyoanza ni kama naota...ila nikaamka laivu nakuta tumbo hapa juu maumivu yake si mchezo ni kama nimekula asidi imejaa pomoni..yani jasho lilinitoka moyo unaenda mbio..nikaamka uzuri huwa nalala na chupa ya maji nikanywa nikaona kama ile sehemu ya juu ya tumbo inaachia lakini mwili unakosa balance nahisi kuanguka...nyiee nikasema ndo nakufa hivi jamani...nikasema nitembee tembee humo room huku nakunywa maji kidogo kidogo..baabdae nikakumbuka kuna ant acids huwa ninazo ndani nikazitafuna chapuu ndo kupata ahueni...
Nimewaza tuu mtoa mada jinsi atakavyopitia mateso pale atakapojinywea zake hiyo pombe..
 
Kwahiyo kusubiri mpaka kesho unajionea tabu?
 
Tumbo limechafuka nikameza flagin asubuhi.mchana likatulia kabisa.sasa natakiwa nikae muda gani nianze kunywa pombe.mimi ni mpenzi wa konyagi.siwezi kulala bila kupata kale kachupa kadogo kwa ajili ya usingizi.kuburudika.kuondoa mafua.covid nk.
Meza zingine unywe na konyagi yako ulale

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimewaza tuu process ya kifo..Nyie kufa kuna maumivu acheni..yani kuna ile hali unapitia kwny mwili hakuna mtu anaejua unayoyapitia..juzi bana nimeenda kwny kuvunja kikoba sijui kile chakula ilikua ni ajee...yani usiku maumivu yalivyoanza ni kama naota...ila nikaamka laivu nakuta tumbo hapa juu maumivu yake si mchezo ni kama nimekula asidi imejaa pomoni..yani jasho lilinitoka moyo unaenda mbio..nikaamka uzuri huwa nalala na chupa ya maji nikanywa nikaona kama ile sehemu ya juu ya tumbo inaachia lakini mwili unakosa balance nahisi kuanguka...nyiee nikasema ndo nakufa hivi jamani...nikasema nitembee tembee humo room huku nakunywa maji kidogo kidogo..baabdae nikakumbuka kuna ant acids huwa ninazo ndani nikazitafuna chapuu ndo kupata ahueni...
Nimewaza tuu mtoa mada jinsi atakavyopitia mateso pale atakapojinywea zake hiyo pombe..
Mlivunjia wapi Eplas au 🤣🤣🤣🤣 maana chakula chao sikukielewa kwakweli
 
Tumbo limechafuka nikameza flagin asubuhi.mchana likatulia kabisa.sasa natakiwa nikae muda gani nianze kunywa pombe.mimi ni mpenzi wa konyagi.siwezi kulala bila kupata kale kachupa kadogo kwa ajili ya usingizi.kuburudika.kuondoa mafua.covid nk.
Unaweza kunywa sasa hivi hamna noma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom