Nimemchoka sana mama yangu

Vumilia , subira yavuta heri. ukiweza kujitegemea utapumzika na labda na yeye atajirudi kwako. Kwa nini mama yako mdogo hazungumzi nae kuhusu hili tatizo ?
 
Such a sad story, pole sana kwa yanayokukuta ila muombe mungu akuongezee ujasiri na akufanyie wepesi katika mitihani hii ya maisha unayopitia. Amini kwamba mungu anasikia kilio chako na ipo siku atakuondoa katika hiyo mitihani unayopitia. Believe in yourself and in your god.
 
Vumilia , subira yavuta heri. ukiweza kujitegemea utapumzika na labda na yeye atajirudi kwako. Kwa nini mama yako mdogo hazungumzi nae kuhusu hili tatizo ?
keshafariki nikiwa formone
 
Navyo Amini mimi kunashinikizo ambalo inabidi mama yako aishi na wewe hivyo kama angekuwa hakupendi asinge kusomesha wala kukuacha kuishi nae.
Ungepelekwa kwa ndugu yoyote na usinge soma.
Vilevile inategemea na makubaliano ya baba yako wa kambo na mama yakoje na hawezi kukwambia shukuru tu umesoma
 
Asante.sijawahi kumwacha Mungu.mkuu mimi hata kuwa na marafki wakaribu sana naona shida nahc kutopendwa kama mama hanipendi atanipenda nani?
Dah pole sana. Wewe ni wa thamani wala usiwaze negatively toward u like this!
 
Pole mdogo wangu... U know what ur better than that trashcan.. U just need to believe in yourself.... Love yourself first and doubt that your less or imperfect... You will the miracle in that..
 
aiseeh!mimba yako iliptikana kwa bahati mbaya!!

baba alikataa mimba mama anamalizia hasira kwako!!

mama almpenda baba ako Ila mzee akaenda kumtosa mazima

nahisi hizo zaweza kua sababu!

cha msingi endelea kumpenda tuu!

one day...one day...ataona umuhimu wako!
 
wala mama ake mdogo sio mzazi wake isipokua Huyo mama ana hasira za kutelekezwa na baba mzazi wa binti!

ana wakati mgumu sana huyu Dada!
 
Pole.. Huyo atakuwa na hasira na baba ako so ndo anazimalizia kwako...
nakubaliana na wewe 100 per cent. pengine baba yake alimtelekeza mkewe au hakuishi nae kwa upendo. au alimtesa sana kumpelekea kuathirika kisaikolojia. ndiomaana akimuangalia mwanae anapata hasira.
 
mama ako ana mengi moyoni,
pengine alibakwa ukazaliwa,
pengine alitelekezwa,
au pengine ana very sad story kuliko unavodhani na akikuona inamjia picha ya mambo yote,yanayomsibu.
msamehe bure,mwelewe na ukubaliane na uhalisia wa mambo huku ukiomba sana kwa Mungu akuongoze na akupe ujasiri.
usiutumie mwili wako kukidh mahitaji yako,tumia sana kusali na kuingia ktk jumuiya za kiiman ili upate msaada ukihitaji.
mahitaji mengine unaweza kuyapuuza ili usiingie zaid majaribuni,mfano simu co lazima uwe nayo(wala co k2 cha kulaum). fanya hayo nina imani UTABARIKIWA.
 
Can I be your mom?[emoji85]
 
Pole kwa kuondokewa na mzazi wako ukiwa bado mdogo pia hapa sijapaelewa umeandika mambo ya chuo ulikosa mkopo akawa anakuhudumia yeye au nazeeka vibaya jamani?
aliyefariki ni mamamdgo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…