Mimi nimekuwa na mpenzi wangu takribani mwaka na miezi mitatu sasa kwakusema ukweli ninahisi kumchoka yeye ndokwanza kumekucha sasa kumuacha kiolela na muonea huruma!!Na nilisha onywa nisiweke base mimi nikaona kuweka base ndo mpango sasa nifanyeje au ni mumwage yataisha?
ukitaka kujua umemchoka ngoja ujue amemegwa
Sasa Kakakiiza kwa nini ukaweka base pasipo kuwa na uhakika kwanza kama ni infatuation au ndo penzi la kweli? Miezi hiyo ulitaja kaka yangu mpenzi nakiri kusema kuwa haikuwa muda wa kutosha kuweka base kama ulivyokuita mwenyewe....... nway kama hamjaihalalisha hiyo base ni vema mkawekana wazi kuwa mslow down kwanza ili kupeana nafasi ya kuzichunguza nafsi zenu. Yeye ndio atakiri amefika kule jua linakozama ambako msafiri hana budi kumaliza safari lakini mweleweshe kiutaratibu kwa sababu ni afadhali mkaumizana kipindi hiki ambacho bado hamjainvest sana feelings zenu ambazo ndo resources muhimu katika hili kuliko mkisubiri mmejikita na kuzama kabisa..maumivu yake si haba kaka.
Aksante Mbu kaka yangu its only that I was forced to know more in this after a life experience. But I thank GOD and happy that I went through that...... It helped me grow stronger both spiritually as well as physically......... haya mambo bwana ukiyaanza ukiwa mtoto unakomazwa tu upende usipende, cha muhimu is how you raise from where you fall...wallahi MwanajamiiOne lazima utakuwa umesomea mambo ya Counselling japo kidogo, mnh...busara si haba! :thumb:
...umemchoka kivipi bana? mambo haya hayana kuchoka, Mapenzi hupungua tu. Unachohitaji ni ku 'recharge battery!'
eeehhh mtume weee! ha ha ha!
Mw'mungu amnusuru kwa hili!
khe khehkhkeeeeee,,, heheheeeeeeee....nilidhani mie mwenyewe ndio nahisi hivyo...wallahi MwanajamiiOne lazima utakuwa umesomea mambo ya Counselling japo kidogo, mnh...busara si haba! :thumb:
khe khehkhkeeeeee,,, heheheeeeeeee....nilidhani mie mwenyewe ndio nahisi hivyo
haka kadada lazma katakua ka-kanela frani aisee:doh:
ooops, jimama... hic' mmhhhh ahhh limama' hic!! sssory sanna tttuuu:boom:Sebbo Acid nikisema unitake radhi ntakuwa nakosea?? Yaani mie ni ka... kweli ka...... Acid mie ka..dada??? Hebu mwulize Mbu jinsi nilivyojazia nastahili heshma yangu bana .... limmama........... au unataka unione ndo utaamini?
Aksante sana kaka but I think am not that good in this area... its just theoretical.............I think you know what I mean:doh:
ooops, jimama... hic' mmhhhh ahhh limama' hic!! sssory sanna tttuuu:boom:
aarrghh hizi pombe vipi?? sssirruuuddiii tena kkamanda:spit:
Mh, nimuulize mbu?:A S-confused1:
nimuulize nini vile? kumbe mbu anajua jinsi ulivyojazia?/
hic':nerd:
ooops, jimama... hic' mmhhhh ahhh limama' hic!! sssory sanna tttuuu:boom:
aarrghh hizi pombe vipi?? sssirruuuddiii tena kkamanda:spit:
Mh, nimuulize mbu?:A S-confused1:
nimuulize nini vile? kumbe mbu anajua jinsi ulivyojazia?/
hic':nerd:
ppplease usinilaani ntakosa pesa ya kul... yani mpaka umepost mara mbili... dah, kwenma wkeli?Mh .....Ulaaniwe wewe na hiyo BALIMI Unayokunywa............. Siku
ppplease usinilaani ntakosa pesa ya kul... yani mpaka umepost mara mbili... dah, kwenma wkeli?
ndugu yangu...hiyo kwenye red ni madhara ya pombe tu hayo... tena ntatangaza kuacha veri suun.. naona inanizeesha tu, hadi kwenye zimekua kipilipiliHahaha usinambie ashaanza kukufundisha kinyankole lol haya hapo red ndo unamaanisha nini kwa kizungu cha kiswahili??
Hahah Kamanda hapa nimekamata"mwana mbili" tayari ndo mana nimepost mara mbili lol