Nimemchoka mpenzi wangu!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Mimi nimekuwa na mpenzi wangu takribani mwaka na miezi mitatu sasa kwakusema ukweli ninahisi kumchoka yeye ndokwanza kumekucha sasa kumuacha kiolela na muonea huruma!!Na nilisha onywa nisiweke base mimi nikaona kuweka base ndo mpango sasa nifanyeje au ni mumwage yataisha?
 
...umemchoka kivipi bana? mambo haya hayana kuchoka, Mapenzi hupungua tu. Unachohitaji ni ku 'recharge battery!'

ukitaka kujua umemchoka ngoja ujue amemegwa

eeehhh mtume weee! ha ha ha!
Mw'mungu amnusuru kwa hili!
 
KakaKiiza kuweka Base ndo kufanyeje? Mi celewi
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Kuweka base nikukaa kabisa as wife an husband kumbe ulitakiwa hit an run kuweka kijiwe sikuhizi utahudumia sana!najua umenisoma Mwanajamii one
 
Sasa Kakakiiza kwa nini ukaweka base pasipo kuwa na uhakika kwanza kama ni infatuation au ndo penzi la kweli? Miezi hiyo ulitaja kaka yangu mpenzi nakiri kusema kuwa haikuwa muda wa kutosha kuweka base kama ulivyokuita mwenyewe....... nway kama hamjaihalalisha hiyo base ni vema mkawekana wazi kuwa mslow down kwanza ili kupeana nafasi ya kuzichunguza nafsi zenu. Yeye ndio atakiri amefika kule jua linakozama ambako msafiri hana budi kumaliza safari lakini mweleweshe kiutaratibu kwa sababu ni afadhali mkaumizana kipindi hiki ambacho bado hamjainvest sana feelings zenu ambazo ndo resources muhimu katika hili kuliko mkisubiri mmejikita na kuzama kabisa..maumivu yake si haba kaka.
 
...wallahi MwanajamiiOne lazima utakuwa umesomea mambo ya Counselling japo kidogo, mnh...busara si haba! :thumb:
 
Aksante Mbu kaka yangu its only that I was forced to know more in this after a life experience. But I thank GOD and happy that I went through that...... It helped me grow stronger both spiritually as well as physically......... haya mambo bwana ukiyaanza ukiwa mtoto unakomazwa tu upende usipende, cha muhimu is how you raise from where you fall
 
...umemchoka kivipi bana? mambo haya hayana kuchoka, Mapenzi hupungua tu. Unachohitaji ni ku 'recharge battery!'

eeehhh mtume weee! ha ha ha!
Mw'mungu amnusuru kwa hili!

kaka... unajua tuna kitu tunasema "got it all till its gone, but you dont know what you've got till its gone"

Huyo kakakiiza akitaka kujua thamani ya mwanamke, amchoke basi na kumuacha....
 
...wallahi MwanajamiiOne lazima utakuwa umesomea mambo ya Counselling japo kidogo, mnh...busara si haba! :thumb:
khe khehkhkeeeeee,,, heheheeeeeeee....nilidhani mie mwenyewe ndio nahisi hivyo

haka kadada lazma katakua ka-kanela frani aisee:doh:
 
masikini dada wa watu,broken heart mbaya jamani,bora mfahamishe,kuliko kuendelea kumchoresha mwenzio,ataumia lakini baadae atazoea,umle uroda mwaka mzima,pengine dada wa watu na ahadi za teletele za kumuoa,and then umwage bure bure kisa huna mapenzi nae,bora umwambie mapema kuliko kuendelea kukaa nae.Muombe msamaha wa nguvu kabla ya kumpa ukweli,na ikibidi kama una uwezo wa kumsaidia umsaidie kwa muda
 
khe khehkhkeeeeee,,, heheheeeeeeee....nilidhani mie mwenyewe ndio nahisi hivyo

haka kadada lazma katakua ka-kanela frani aisee:doh:

Sebbo Acid nikisema unitake radhi ntakuwa nakosea?? Yaani mie ni ka... kweli ka...... Acid mie ka..dada??? Hebu mwulize Mbu jinsi nilivyojazia nastahili heshma yangu bana .... limmama........... au unataka unione ndo utaamini?

Aksante sana kaka but I think am not that good in this area... its just theoretical.............I think you know what I mean:doh:
 
ooops, jimama... hic' mmhhhh ahhh limama' hic!! sssory sanna tttuuu:boom:

aarrghh hizi pombe vipi?? sssirruuuddiii tena kkamanda:spit:

Mh, nimuulize mbu?:A S-confused1:

nimuulize nini vile? kumbe mbu anajua jinsi ulivyojazia?/
hic':nerd:
 
Mh .....Ulaaniwe wewe na hiyo BALIMI Unayokunywa............. :A S angry:
 
ooops, jimama... hic' mmhhhh ahhh limama' hic!! sssory sanna tttuuu:boom:

aarrghh hizi pombe vipi?? sssirruuuddiii tena kkamanda:spit:

Mh, nimuulize mbu?:A S-confused1:

nimuulize nini vile? kumbe mbu anajua jinsi ulivyojazia?/
hic':nerd:

Mh .....Ulaaniwe wewe na hiyo BALIMI Unayokunywa............. Siku
 
ppplease usinilaani ntakosa pesa ya kul... yani mpaka umepost mara mbili... dah, kwenma wkeli?

Hahaha usinambie ashaanza kukufundisha kinyankole lol haya hapo red ndo unamaanisha nini kwa kizungu cha kiswahili??

Hahah Kamanda hapa nimekamata"mwana mbili" tayari ndo mana nimepost mara mbili lol
 
ndugu yangu...hiyo kwenye red ni madhara ya pombe tu hayo... tena ntatangaza kuacha veri suun.. naona inanizeesha tu, hadi kwenye zimekua kipilipili

lakini dah,.... hapa nilipo ka-view kako poa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom