Nimemchana Ukweli Mke mtarajiwa

Nimemchana Ukweli Mke mtarajiwa

hahah huyo mchumba kweli? mbona mna lugha za kizee, hamna uchangamfu katika convo yenu, kama barua ya kuomba kazi
hapo ilibidi manjonjo jamani khaa, message kavu sana hii
 
hahah huyo mchumba kweli? mbona mna lugha za kizee, hamna uchangamfu katika convo yenu, kama barua ya kuomba kazi
hapo ilibidi manjonjo jamani khaa, message kavu sana hii
Labda nayy mkavu
 
Naomba nikusaidie kukutunzia..

Nna chumba ambacho huw sikitumii kwangu. Mimi n mkarimu san. Ntahakikisha hadi anakusahau kabisa km ulimjibu hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana...

Maisha mbona ni yale yale..

Cc: @mabondaw...
 
Hata kama mambo si mazuri, si kwa majibu hayo,siku moja???nani Mchumba???,pole bro
 
Back
Top Bottom