Ivan mapalala
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 285
- 103
Nae aonekane amepostHata mie nahisi changamsha genge tu
nipo mpnz,kipenzi chako hajambo?umemisika jamaan upogo kweli mamy
Ahahhh unatafuta kesi ujue nilimuona juzi atakuwa mzima
Anajishushia hadhi hapo angesema bebi nakuja kwako kulala nikupe penzi asingeandika hayo ya uje na unga tusiwe papuchi orientedSasa kwani kakosea nini hapo?
Mbona tena kawa mstaarabu kabisa kakupa taarifa mapema!
Labda sema tu kuwa uwezo wa kuwahudumia ndio huna lakini hata hivyo sidhani kama huo uwezo wa kula nao kwa hiyo siku moja huna. Nahisi ni roho mbaya tu!
Kama ni mkeo mtarajiwa atakuwa anaijua hali yako kiuchumi labda kama huwa unamdanganya hali yako. Kwa hiyo hata akija akashindia maandazi hatashangaa kama anaijua hali yako na pengine amejipanga kukusaidia wawapo hapo kulingana na hali yako ilivyo!
Kiujumla huna upendo hilo haliwezi kuishia kwa huyo tu, hata kwa ndugu zako inaonekana huwezi kuwasaidia kwa roho hiyo!
Mi ninavyompenda mchumba wangu lazima niwapende na ndugu zake na ndivyo ninavyofanya na ndiyo furaha na amani yangu ilipo!
Hakuna kitu nafurahi kusikia mchumba wangu akinieleza jambo kutaka msaada kwangu maana yake ananiamini(hapa nasemea mambo ya msingi) na huwa sina hiyana kabisa kumsaidia.
Umeniangusha sana brother. Bado hujakomaa kifikra kufikia hatua ya kutaka kuoa maana hujajipanga kimajukumu!
Najua hii ni story tu ila una mawazo ya ovyo!

Yaan huo ni uchoyo wa wazi kbs, kuwa na mwanaume wa hivyo ni tatizo.Hiyo siku moja tu aje na chakula chake, je ukimuoa utaweza kumlisha?
Nway najua ni chai tu hyo.