Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,636
- 11,116
Muda sio mrefu nimemaliza kutazama series ya Shooter. Kiukweli wakati naanza kuitazama niliona ya kawaida sana ila jinsi nilivyozidi kuangalia episodes nyingi ndio nikaanza kuikubali.
Season 1 inaanza mtaalamu wakulenga shabaha (Sniper) bwana Bob Lee Swagger (Ex Marine) anachongewa kesi ya kumuua Rais wa Ukraine akiwa na lengo la kumuua Rais wa Marekani ila akakosa target na kumuua Rais wa Ukraine.
Jamaa atapambana kumpata shooter halisi aliyeua, mchezo huu alichezewa na rafiki yake Issac Johnson (Homeland) aliyempa dili la kumlinda Rais kwa kutafuta position nzuri anayoweza kukaa sniper siku ya msafara wa Rais ili kuongeza ulinzi maeneo muhimu kwa kumhofia bwana Solotov (Sniper) aliyewahi kumuua rafiki yao Donny wakiwa Afghanistan. Hilo ndio lilikuwa kosa mwisho wa siku akapewa kosa na kwenda jela baada ya kukutwa shooting area, everything was planned na alijiingiza kwenye mstari mwenyewe.
Season 2 ilikuwa mtiti sana huku na kule, kulikuwa na watu wengi nyuma ya pazia, wengine ni viongozi wakubwa serikalini na vitengo vya usalama kama; FBI na Homeland. Swagger alishirikiana na Agent Memphis (FBI) kutafuta real shooter ila kila walipochimba kuliibuka jipya. Ali-fake mpaka kifo chake baada ya kusakwa sana alipotoroka gerezani. Yote kwa yote Swagger kwa familia yake humuambii kitu, ukiwagusa kinachofuata ni risasi tu. Mke wake Julie na mwanae Mary walitekwa mpaka akawapata; Jack Payne anajua alichokipata 😂
Season 3 alipambana kuaingusha Atlas iliyokuwa ikiitwa Phoenix kabla ya hilo jina jipya. Hawa ndio walimuua baba yake Swagger, mzee Earl Swagger. Mwanzo Swagger alijua kilikua ni kifo cha kawaida baba yake alipouliwa katika mapambano na jambazi, alikuwepo siku baba yake anapigwa risasi ila hakujua kama kulikuwa na sniper aliyemmaliza baba yake tofauti na jambazi.
Alikuja kujua baada ya kusikiliza kaseti iliyorikodiwa kwenye simu ya polisi ya baba yake, alijua baada ya kusikia mwangwi wa risasi ya 3 kitu amacho kilikuwa sio cha kawaida kwani baba yake na jambazi walikuwa karibu hivyo kama ni risasi ikipigwa basi risasi na mlio wa sauti ya risasi vitaenda sawa.
Kufatilia Atlas kulipelekea kumpoteza mke wake aliyepigwa risasi na sniper, mzee Red (Bama Cattle) akiwa kwake (Swagger Ranch) kama ilivyo ukiigusa familia ya Swagger ilikua ni shaba tu, mzee Red alipata stahiki yake huko milima ya barafu, Canada.
Leo nitaianza The Witcher baada ya hapo nitahamia See. Money Heist 4 kali sana; kale kamama kenye mimba sijui katamfanya nini Professor. 😂