Nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano

Hapo kwenye namba ulitibua ungepata D ungechukua kozi za afya
Kwa coz hii ya community health niliambiw kwa mtaala wake naeza soma coz 7 za afya kwa ngaz y certificate
Med lab
Co
Radiology
Social work
Environment health
Nursing
Je ushaur kwa wajuvi
 
Kwa upande wa afya soma pharmaceutical au clinical officer anza na certificate,usiguse nursing!out of that soma IT. Ajira zake sio ngumu kivile kwa IT unaweza kujiajili pia ukiwa smart kichwani it means unausongo na maisha! Kila la heri mdogo wangu!
Kwanini asiguse nursing mheshimiwa?
 
Ndugu km ni hivo risiti form4 ufute mswaki wa namba na physics ili uwe full qualified
Nilishaga risit et Mara ya kwanza 2012 nilipata four ya 29
Civic D
Kiswa D
Geogr D
Physc D
Chmst D
Biolog D
History f
English f
Mathe f

Haya nkarudia 2014 nkapata GPA ya 1.4

Civic E
Kiswa D
Geogr E
Physc E
Chmst C
Biolog B
History C
English C
Mathe f
MATHE IMEKUWA IKINIGARAGAZA NORMALLY ET CJUI NIFANYEJE

na tayar nshaga soma hiyo cozi ya community health 2015/2016 nimemaliza na kupata GPA ya 3.5 ambay ni first class
 
Tafuta course nyengne ambayo inarelate na iyo community tafuta wanaojua wakuambie nini unaendeleza
 
Ata upite vyuoni wakuambie wao nini utaunganisha
Nacho jua ni kua ukitaka kupiga shule kwa upand WA afya naanza kwa level ya certificate kwa koz 7
Ambazo ni
Med lab
Co
Nursing
Environment health
Social work
Radiology
Pharmacy
Yeah kama ckosei ila mtaala wake waonesha wapaswa kuanza upwa lakin una tumia ile basic certificate ya community health kama bridge kufikia malengo ya MTU ila wanaojua embu waje watujuze
 
Kama una ada unaweza pia ku-upgrade nafikiri
Tz hakuna diploma yake ila majiran zet km keny na Uganda IPO mpka degree sasa wanadai mpka baada ya miaka mitat ya intake ya kwanza ambao ni cc tukae hyo miaka then ndy walete dp n digrii
 
Mimi nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano sasa nilikuwa naomba ushauri wenu.

Mimi nina wastani wa kujiunga na chuo sasa mpaka saa hizi sijajua nikasomee kozi gani ambayo itakuwa ni faida kwangu na kwa inchi nzima ila samahani naombeni ushauri wenu.
Broo mi naona ungeongea na ndalichako maja kwa moja maake sasa hivi waweza lipa hela alafu baadaye unatimuliwa kama jesca Wa mjedah unarudishwa siku zimeisha
 
Kasomee mid- wife or nursing, medicine
Ok sawa ndugu yangu ila nafikilia kuanza certificate miaka miwili duh ila haina namn xax serkal ndy imetuweka mpka muda umepita WA kuomba kwa tulijua tunaajiriwa baada ya kumaliza
 
Mimi nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano sasa nilikuwa naomba ushauri wenu.

Mimi nina wastani wa kujiunga na chuo sasa mpaka saa hizi sijajua nikasomee kozi gani ambayo itakuwa ni faida kwangu na kwa inchi nzima ila samahani naombeni ushauri wenu.
weka matokeo yako itakuwa rahisi kukushauri.
 
Back
Top Bottom