Nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano

daudi jeminusi

New Member
Sep 26, 2017
2
1
Mimi nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano sasa nilikuwa naomba ushauri wenu.

Mimi nina wastani wa kujiunga na chuo sasa mpaka saa hizi sijajua nikasomee kozi gani ambayo itakuwa ni faida kwangu na kwa inchi nzima ila samahani naombeni ushauri wenu.
 
Mimi nimemaliza kidato cha nne Ila nimekosa wastani Wa kujiunga na kidato cha tano sasa nilikuwa naomba ushauli wenu.

Mimi nina wastani wa kujiunga na chuo sasa mpaka saa hizi sijajua nikasomee kozi gani ambayo itakuwa ni faida kwangu na kwa inchi nzima ila samahani naombeni ushauli wenu.

Kama ulisoma combination ya science kasomee science courses but uwe na pass marks za Physics, mathematics na geography, chemistry and biology

Kasomee course zifuatazo ukianza na certificate.
1. Water and pipe engineering

2. Agricultural science (pass in biology & chemistry)

3. Food and nutrition ( must have biology and chemistry pass)

4. Information technology (I.T)

5. Social science

N.B udaktari usisahau kama una hobbie since udogoni
Ukipasua hapo vizuri mdogo wangu utakua umefika mbali mno.
 
No vizuri ungewweka matokeo yako.

Watu wapate pa kuanzia kukushauri.
 
Nimemaliza 2012 nkapata four ya point 29
Cvs D
Kisw D
Geo D
Phsc D
Chem D
Bioa D
Engl f
Hist f
Math f
Ushaur nixome coz ipi
 
Mimi nimemaliza kidato cha nne Ila nimekosa wastani Wa kujiunga na kidato cha tano sasa nilikuwa naomba ushauli wenu.

Mimi nina wastani wa kujiunga na chuo sasa mpaka saa hizi sijajua nikasomee kozi gani ambayo itakuwa ni faida kwangu na kwa inchi nzima ila samahani naombeni ushauli wenu.
Unajua maana ya wastani?
 
HIVI DIAMOND alifika form ngapi?
 
ungeweza kuapply vyuo vya mifugo (lita's) au chuo cha mic2 olmotony arusha coz umepas chem n bios ila cdhn kma bdo mda wa kuapply bado upo jarbu kuulizia kwny hvyo vyuo kwa afya kupata hpo n ngumu mkuu hyo math co kbsa
 
Chuo cha mic2 olmotony cha husu nini
NB.
Nimeshaga soma community health ila ajira mzee ndy changamoto
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom