Nimemaliza Degree ya Ualimu nataka niunge, je ni kozi gani nzuri niombe?

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Jamani wana jimvi nimemaliza shahada ya ualimu ila nataka kuunga ila kwa kubadilisha course kwasababu sikuwa na wito wa kufundisha ila niliingia ualimu kwa madhumuni ya kupata mkopo na sikitu kingine.sasa jamani niombe course gani nzuri kwa ajili ya masterz.nawakilisha.

waalimu ni wito ndugu yangu - wewe kafundishe tuna uhaba wa waalimu sana.

mimi nakushauri ufanye kazi ya ualimu ndan ya ualimu utapata channel nyingi tu kuliko ukaunga halafu baada utaanza kuhangaika kutafuta kazi.

Ushauri wangiu ni kwamba kafanye kazi ya ualimu, utaipenda tu ukiwa kazini, kazi ya ualim ni nzuri saana ndugu

Masomo/somo lako la specialization katika hiyo digrii linaweza kukupa mwongozo..lakini pia kuna digrii nyingi ambazo huchukua watu wenye background tofauti mfano MBA na kuna multi displinary degree ambazo huchukua fani zaidi ya moja katika specialization.Mfano public health inapokea sociologists, medical scientists na hata biological scientists.

Unapoulizia ipi ni nzuri inategemea mambo mengi, nakushauri zingatia yafuatayo:-

1. Binafsi unachopenda kufanya toka moyoni mwako. mafanikio ya kazi hutegemea sana mapenzi ktk kile unachokifanya (ndio maana siungi mkono wanaokusisitiza kubaki ktk ualimu ilihali huupendi)

2. Uhusiano baina ya digrii ya kwanza na hiyo ya pili (means huwezi kusomea udaktari na pengine kama ulifanya arts hawatakupokea ktk uhandisi), vilevile ukihama sana utajipa wakati mgumu katika hiyo fani mpya uliyohamia.

3. Fursa za ajira na maslahi (hili ni jambo gumu mno kufanya judgement katika nchi yetu ambayo haina standards) kuna watu wana digrii zinazolingana na wanapishana mishahara zaidi ya mara tano. Ni kweli kuna digrii fulani ambazo zina maslahi zaidi ila variations ni nyingi na wakati mwingine hayo maslahi ni pamoja na wizi na ufisadi (hapa inategemea pia kiwango cha uzalendo ulicho nacho).

Mimi ni mwalim,nimemaliza last year,nakushauri ufanye kazi walau miaka miwili tu,then fanya mastarz.hapo hata skolashp eazy kupata,waweza fanya Project planin n menejment,environmental,

history & Geography

Nafikiri ufanye kwanza kaz ya ualimu then baadaye ndo uendelee na masters. hii itakupa muda wa kujipanga na kufanya uchambuz yakinifu wa hiyo fani...

Kaka fanya kazi kwanza angalau ujipange ki maisha kama huna sponsor, ila kama unae na yuko tayari kukulipia hiyo MA usigeuke nyuma nenda kaunge. Mimi pia nimesoma masomo kama yako. MA Inayoweza kukutoa fasta niya community dev/ policy wit project plannin/public adminstrn/ na envirnmental geo.

Go face the world first.Then go back to school after 3 years.3yrs will tell u what the world needs.

Jamani wana jimvi nimemaliza shahada ya ualimu ila nataka kuunga ila kwa kubadilisha course kwasababu sikuwa na wito wa kufundisha ila niliingia ualimu kwa madhumuni ya kupata mkopo na sikitu kingine.sasa jamani niombe course gani nzuri kwa ajili ya masterz.nawakilisha.

nyoosha maelezo kijana ,mbona unakuwa kama sio intellectual
-Kwanza ulitakiwa useme ulispecialize ktk masomo gani form six-na hatimae kuingia nayo chuo kusomea degree yako ya ualim.
-Pili utuambie ww binafsi unapenda kusoma course gani masters(ndoto zako za badae ulipenda kuwa expert wa kitu gani).
sawa dogo usikurupuke kama umetoka usingizini maisha yatakushinda ukienda kihivyo!

"ELIMU HAINA MWISHO, YENYE MWISHO NI MAISHA TU"

kaka form 6 nilisoma HGL.chuo ni mtakatifu agustino course bachelor of art with education,area of specialization ni history na geography i hope umenielewa.nasubili ushauri wako kaka.

kaka form 6 nilisoma HGL.chuo ni mtakatifu agustino course bachelor of art with education,area of specialization ni history na geography i hope umenielewa.nasubili ushauri wako kaka.

Kapige MBA-procurement and logistic mgt..

fanya kazi kwanza upate experiens kama upo BAED halafu soma masters ya public administration..FAIDA yake ni kuwa zinauhusiano ni rahisi hata kufanya utafiti ni rahisi kupata kazi kama program officer afisa utumishi na nafasi za utawala katika masuala ya elimu na jamii serikarini na sekta binafsi.Hata mimi nina mpango huo afta 2 yrs

Back
Top Bottom