Nimelogwa ninenepe tu?


Hebu sema urefu wako nikuambie unapaswa kuwa na uzito gani; halafu tujue unatakiwa upunguze kilo ngapi.
 
Tafuta mpenzi wa kukupa majanga...uwe unapigwa mchi mara 9 kwa siku
 
Acha kupiga punyeto
 
Ile elimu ya dini uliyopewa na wazazi wako itumie kupigana na hayo mawazo ya kulogwa. Nenda gym, punguza kula starch, kunywa maji mengi na matunda uone kama huo uchawi utakuwepo.
Tatizo anapiga punyeto sana
 
Njoo PM tuyajenge. Utapenda mwenyewe
 
Ila kupungua sio kazi rahisi inhitji uvumilivu hta miaka miwili ndio unawez ona mabadiliko..usikatr tamaa..zoezi ndio soln
 
punguza kale kamcheza bt napita 2
 
Ukiwa barabarani una drive tishia kumgonga traffic, utapungua tu rafiki yangu
 
Hizo juice tu utaachaje kunenepa! Piga juice ya tango na limao asubuhi na jioni halafu ulete mrejesho hapa!
 
Kuna tofauti kubwa sana ya kuwa mnene na kuwa fit. Unaweza kuwa mnene lakini ukawa vizuri kiafya kuliko wembamba. Hivyo jitahidi sana kufanya mazoezi ili uwe safi kiafya na sio kupunguza mwili. Endapo target ikiwa kupunguza mwili na ukaona mabadiliko hayatokei,utakuwa frustrated na mwili utaongezeka zaidi. Fanya mazoezi kuwa fit and healthy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…