Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,442
- 23,504
Unamtumia Malaya 300k, ππππΎ
Duh yani unatuma 300k kwa mwanamke Ambae si mke wako?
Malaya hawana shukrani mkuu, umeona the way alivyoreact ulivyomtumia hiyo pesa bila ya kutolea? Imagine ungemtumia bi mkubwa, mzee au nduguzo wa karibu nyumbani namna wangeshukuru na kukuombea blessings? Now you got me? Once a whore always a whore, 'em motherfuckers belong to street.Duuuuh... Umetumia maneno makali ya kunichoma moyo. Uwe na huruma basi ndgu yangu....
Umemkomesha hasa huyo manziππππYaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642
Mkuu hili bumunda umelifundisha kuomba hela nyingi hebu lilirudie lisije kututesa wengine
Waharibifu wa jamii nyie acha na sisi tupitie misukosuko ya mibumunda yenu ππππ€£π€£π€£π€£ Nimewaachia nanyi mjibebee.... Sitaki tena mwanamke bumunda
Tunajibana hivyo hivyo... Kumbe mibumunda haina shukraniDu watu mna hela za kuchezea
Hahaha π π πYaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642