Nimelia jinsi Iran inavyopigwa mabomu

Nimelia jinsi Iran inavyopigwa mabomu

Ikulu ya netanyahu ilisambaratishwa tar 2nd March; wakamnyazisha kidogo...angalau wiki moja bila kuropoka...
Hata hivyo, Waisrael walimuua YESU hivyo kuua kwao ni kawaida.... naona damu ya Yesu ina waandama...wanawazia kuua tu...miaka yote
Naona h habari ya Ikulu ya Netanyau kushambuliwa unayo ww pekee yako dunia nzima, hongera sana kwa hilo 😂
 
kila mtu atachezea tungoje muda utaongea,ila mjiandae mfumuko wa bei maisha yatakua sio poa ndugu mashabiki
Hata kwenye vita ya Ukraine na Urusi mlisema hv hv maisha yatakuwa magumu, but guess what 😂
 
Kama WaIsrael waliweza kumuua YESU, nini kitawashinda?
Hivi Netanyahu amekimbilia wapi baada ya Ikulu yake kusambaratishwa march 2nd?
Ikulu ipi hiyo? Labda ya Chamwino. Mbabe wa Vita anadunda tuu mitaani
 
Attachments

  • 1772737515292.jpg
    1772737515292.jpg
    83.1 KB · Views: 7
  • 1772737507226.jpg
    1772737507226.jpg
    53.6 KB · Views: 9
  • 1772737500971.jpg
    1772737500971.jpg
    51 KB · Views: 7
  • 1772737493408.jpg
    1772737493408.jpg
    68.6 KB · Views: 9
  • 1772737489607.jpg
    1772737489607.jpg
    59.5 KB · Views: 7
Hata kwenye vita ya Ukraine na Urusi mlisema hv hv maisha yatakuwa magumu, but guess what 😂

mafuta yameanza kusogea mboba mkuu sahivi dar petrol ni 2864 na diesel ni 2858,ndugu yangu kila mtu atafikiwa🤣
 
Mafuta yamepandaje wakati nusu ya hy bei n kodi ya serikali ya Tz na sio bei halisi ya mafuta?

Mtu amejaza mapipa ya mafuta, anasikiliza bei ipande ili nae apandishe, kwan n mara ngapi wanatangaza trh fulani mafuta yatapanda then ukienda petrol station unaambiwa mafuta Hakuna Kumbe wanasubiri trh ifike?
 
Badala ya kulia na umaskini wa taifa lako ambalo lina miaka 65 ya uhuru, lakini bado linasumbuliwa na vitu vidogo kama umeme na maji. Unaililia Iran yenye teknolojia kubwa hadi za kutengeneza Nyuklia.

You need an urgent brain reset.
 
Mafuta yamepandaje wakati nusu ya hy bei n kodi ya serikali ya Tz na sio bei halisi ya mafuta?

Mtu amejaza mapipa ya mafuta, anasikiliza bei ipande ili nae apandishe, kwan n mara ngapi wanatangaza trh fulani mafuta yatapanda then ukienda petrol station unaambiwa mafuta Hakuna Kumbe wanasubiri trh ifike?
🤣🤣sijaelewa unabishana na mimi muwakilishi wa serikali ,bei imepanda banah,wanaoweka stock kusubiri bei zivurugike ni kila mtu mwenye tamaa ya kujenga faida,ila ni kosa kisheria ukikutwa na stock ba huuzi
 
kula vya watu na vyako vitaliwa tu kila mtu atafikiwa tu karma is real,ukiua kwa upanga nawe utauliwa kwa upanga
 
Naona h habari ya Ikulu ya Netanyau kushambuliwa unayo ww pekee yako dunia nzima, hongera sana kwa hilo 😂
Mbona ipo hewani tangu 2nd March
Tatizo hapa kila mtu anafuatilia anachopenda kusikia; washabiki wengi hapa wanashabikia wale walio muua Yesu (Waisrael) as if walifanya kazi nzuri kumuua Yesu; wakati Waisrael wenyewe hata Yesu hawataki kumsikia
 
Mtume alikuwa tapeli na malaya yule

Unataka tuwashabikie waarabu ?

Warumi 3
1 Basi Myahudi ana ziada gani? Na kutahiriwa kwafaa nini?

2 Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.

3 Ni nini, basi, ikiwa baadhi yao hawakuamini? Je! Kutokuamini kwao kutaubatili uaminifu wa Mungu?

4 Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na kila mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Ili ujulike kuwa una haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.

5 Lakini, ikiwa udhalimu wetu waithibitisha haki ya Mungu, tuseme nini? Je! Mungu ni dhalimu aletaye ghadhabu? (Nasema kwa jinsi ya kibinadamu.)

6 Hasha! Kwa maana hapo Mungu atawezaje kuuhukumu ulimwengu?
 
ANAYESHABIKIA WATU KUUWAWA HATA WANGEKUWA WAPAGANI, NI MFUASI WA SHETANI BILA MWENYEWE KUJIJUA
 
ANAYESHABIKIA WATU WENGINE KUUWAWA, NI MFUASI WA SHETANI BILA MWENYEWE KUJIJUA
Surah Maidah aya 51 ,

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao.
 
Back
Top Bottom