Nimeletewa mdada wa kazi "jini"

Habari za humu JF

KAZI IENDELEE!

Kiukweli mie sio muandikaji mzuri au mtu wa kuelezea jambo kwa urefu sana tena ki ustadi ila acha tu niandike mtajua namna ya kunielewa.

Nina miezi 6 toka mke wangu alete mdada wa kazi nyumbani baada ya kuona muda wetu wa kufanya au kutoa huduma kwa watoto wetu tukiwa nyumbani haututoshi. Hivyo mam sapu akaamua kumuagizia jirani yetu aliyekuwa kaenda mkoani kwao kuwa akija amjie na mdada wa kusaidia kazi za pale nyumbani pindi tunapokuwa mahangaikoni.

FUPISHA STORY!

Ndani ya miezi 6 yote hiyo nimekuwa nikitoka kazini huwa nawaletea vizawadi familia yangu ila kama binadamu huwa sisahau kumletea dada yetu nae zawadi either t-shirt or gauni ama bites bites hizi ili nae asijione mpweke pale home. Toka huu mwaka umeingia nimeanza kushuhudia vituko vya huyu binti,umri ni miaka 22/23

VITUKO:
Nikiwa natoka asubuhi kwenda kazini (kawaida yake kuja kufunga geti), mke wangu yeye huwa anachelewa kutoka ila mie natoka mida ya alfajir sana, nina mkuta huyu binti katoka bila blauzi yani matiti yapo wazi na wala haogopi wala nini anafunga geti then anarudi zake ndani.

Nikiwa natizama mpira sebuleni mida ya usiku atatoka/kupita kuchukua maji kwenye friji ila "Shanga" zake kazitoa kwa nje afu kavaa kitaiti tu.

Kuna siku kanitumia meseji whatsap kuwa anaomba nikirudi nimjie na pedi/mkate kwa wadada sijakaa vizuri naona meseji ya image,kufungua kanitumia picha kunionesha "mbususu" yake ina damu kama ushahid kuwa aongopi ana bleed.

Baada ya masiku kadhaa kanitumia tena meseji kuwa nimepona shem,sijakaa vizuri picha kufungua "mbususu" imekauka kuwa ananiambia kapona. Sasa zingine ananitumia meseji shem wahi basi kurudi nimekumic.

Kubwa kuliko kuna siku kaniandikia shem nakuonea huruma sana, nahisi dada hakupatii na mwili wako huo hebu jifanye kama umesahau chumba uje nikuoneshe dunia ya raha ipoje! Tena nitakupa kitu najua hajawahi dada kukupa hata siku moja!

N.B
Haya yote yanatokea na kutumwa kwenye simu yangu sijawahi kumshirikisha au kumwambia mtu yoyote yule.

Mke wangu naamini nikimwambia hilo fasta atakimbilia kunishutumu na inawezekana kabisa aka conclude kuwa mie nalala na huyo binti.."NAMJUA MKE WANGU NDIO MAAANA NIMEKAA KIMYA MUDA WOTE HUO".

Nilipo sema "Jini" nikimaanisha balaa,shankupe,mzoga,mcharuko ama mapepe.

HUYU MDADA /BINTI HAKIKA MASHAALLAH AMEJUA KUWA BINADAMU KIMWILI HASWAA...NYUMA TURUBAI HAITOSHI KUFUNIKA MZIGO. YAANI KIGOLI HASWAAA.

NISAIDIENI JAMANI NIMUEPUKE HUYU BINTI MAANA HII NI KESI.
Sasa tukusaidie kufanya Nini??.Km unaipenda ndoa yako mwambie Mkeo kuwa amrudishe kwao huyo binti atafutwe binti mwingine mdogo mdogo.
 
Uwe unaandika vizuri kichwa habari wengine tulijua lini saradini kumbe kimasihara inaandaliwa.
 
Muwe mnawapa Likizo Wafanyakazi wenu wa Ndani hata Waende Kwao. Haya Yote Ni wewe kutokujua Kuishi na Hawa Viumbe wanaoharibu sana Ndoa sometimes
 
Habari za humu JF

KAZI IENDELEE!

Kiukweli mie sio muandikaji mzuri au mtu wa kuelezea jambo kwa urefu sana tena ki ustadi ila acha tu niandike mtajua namna ya kunielewa.

Nina miezi 6 toka mke wangu alete mdada wa kazi nyumbani baada ya kuona muda wetu wa kufanya au kutoa huduma kwa watoto wetu tukiwa nyumbani haututoshi. Hivyo mam sapu akaamua kumuagizia jirani yetu aliyekuwa kaenda mkoani kwao kuwa akija amjie na mdada wa kusaidia kazi za pale nyumbani pindi tunapokuwa mahangaikoni.

FUPISHA STORY!

Ndani ya miezi 6 yote hiyo nimekuwa nikitoka kazini huwa nawaletea vizawadi familia yangu ila kama binadamu huwa sisahau kumletea dada yetu nae zawadi either t-shirt or gauni ama bites bites hizi ili nae asijione mpweke pale home. Toka huu mwaka umeingia nimeanza kushuhudia vituko vya huyu binti,umri ni miaka 22/23

VITUKO:
Nikiwa natoka asubuhi kwenda kazini (kawaida yake kuja kufunga geti), mke wangu yeye huwa anachelewa kutoka ila mie natoka mida ya alfajir sana, nina mkuta huyu binti katoka bila blauzi yani matiti yapo wazi na wala haogopi wala nini anafunga geti then anarudi zake ndani.

Nikiwa natizama mpira sebuleni mida ya usiku atatoka/kupita kuchukua maji kwenye friji ila "Shanga" zake kazitoa kwa nje afu kavaa kitaiti tu.

Kuna siku kanitumia meseji whatsap kuwa anaomba nikirudi nimjie na pedi/mkate kwa wadada sijakaa vizuri naona meseji ya image,kufungua kanitumia picha kunionesha "mbususu" yake ina damu kama ushahid kuwa aongopi ana bleed.

Baada ya masiku kadhaa kanitumia tena meseji kuwa nimepona shem,sijakaa vizuri picha kufungua "mbususu" imekauka kuwa ananiambia kapona. Sasa zingine ananitumia meseji shem wahi basi kurudi nimekumic.

Kubwa kuliko kuna siku kaniandikia shem nakuonea huruma sana, nahisi dada hakupatii na mwili wako huo hebu jifanye kama umesahau chumba uje nikuoneshe dunia ya raha ipoje! Tena nitakupa kitu najua hajawahi dada kukupa hata siku moja!

N.B
Haya yote yanatokea na kutumwa kwenye simu yangu sijawahi kumshirikisha au kumwambia mtu yoyote yule.

Mke wangu naamini nikimwambia hilo fasta atakimbilia kunishutumu na inawezekana kabisa aka conclude kuwa mie nalala na huyo binti.."NAMJUA MKE WANGU NDIO MAAANA NIMEKAA KIMYA MUDA WOTE HUO".

Nilipo sema "Jini" nikimaanisha balaa,shankupe,mzoga,mcharuko ama mapepe.

HUYU MDADA /BINTI HAKIKA MASHAALLAH AMEJUA KUWA BINADAMU KIMWILI HASWAA...NYUMA TURUBAI HAITOSHI KUFUNIKA MZIGO. YAANI KIGOLI HASWAAA.

NISAIDIENI JAMANI NIMUEPUKE HUYU BINTI MAANA HII NI KESI.
Mbona umeshamuepuka tayari. Cha msingi we endelea kumuepuka hivyo hivyo.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Huyo alikuwa Malaya huko alikotoka kwahiyo hapo anataka aendeleze kaz yake kwako.kama unaipenda ndoa yako idumu ongea na wife kiustaarabu kuwa hamuitaji msaidizi tena au vyovyote amrudishe alikotoka ila ukikubali kumchakata jua umekubali kuivunja ndoa yako.maana mafahari wawili hao hawatokaa zizi moja.hayo yote anafanya makusudi ili uzame kwenye shimo lake Sasa siku utakayozama Tu jua umeharibu Maisha yako na mama junior Kwan hakuna Siri ya kudumu mkishafanya kitendo hicho.

Timua huyo raia
 
Wanaumeeeee,,,,.,,,,,,, Narudia tena wanaumeeeee,,,,,,. (wee mtoa mada usijibu kaa kimya haikuhusu ngoja upevuke kwanza)umeniudhi sana
 
Yaani kama unahisi mkeo atakusingizia tu akijua sasa unasubiri nini? Tenda tendo likamilike ili ukisingiziwq iwe umekula mzigo kweli. Mkeo hana akili ka ndiyo alivyo. Anapaswa akuamini
Amuamini vipi wakati mwanaume mwenyewe hapitwi na sketi?
 
Back
Top Bottom