Crusaders
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 167
- 207
Wakuu mwezi uliopita rafiki yangu alikuja kunisabahi kutoka Marekani - Washington, mbali na vitu vingi ameniletea pia zawadi ya IPhone 13 Pro Max, Gb 128.
Kiukweli, mimi sio muumini wa divice za Apple. Nilitaka kujua yafuatayo kutoka kwa wajuzi
Nikiamua kuiuza inaweza pata wanunuzi?
Naweza pata kiasi gani nikiiuza?
Ikiwa kuna yoyote anahitaji aniambie.
Location: Dar es Salaam
Kiukweli, mimi sio muumini wa divice za Apple. Nilitaka kujua yafuatayo kutoka kwa wajuzi
Nikiamua kuiuza inaweza pata wanunuzi?
Naweza pata kiasi gani nikiiuza?
Ikiwa kuna yoyote anahitaji aniambie.
Location: Dar es Salaam