Nimelazimika Kutembea Na Mume Wa Mtu! Sina Jinsi! Kama Mumeo Ungenilaumu Kweli!

Naogopa kule Tanganyika Army kutapata wateja wengi zaidi!

Hata JF tutaitangaza....chezeya kupata penzi la bureee kwa kugawa tu midolare ambayo hatuna kazi nayo!!!

Hebu sema kwanza unataka visa ya Dubai tukugee ukafanye shopping ya viwalo vya x'mas?
 
Hata JF tutaitangaza....chezeya kupata penzi la bureee kwa kugawa tu midolare ambayo hatuna kazi nayo!!!

Hebu sema kwanza unataka visa ya Dubai tukugee ukafanye shopping ya viwalo vya x'mas?

Hahahahaaaaaaaaaa haki ya nani taratiiibu basiii Tina cute asisikie lol!
 
Embu acha kupayuka payuka!

Mume wa mtu kanipenda anataka aniboreshee maisha! Sasa mimi sio wale treat your friends BADLY and your enemies WORSE! Mimi huyu bwana analengo la kunitendea WEMA mtupu! Sasa HE IS A MAN! AND I CANT TREAT HIM LIKE A FO.OL OR LIKE A BOY! Nipokee wema wake tu basi! Noooo!

I WILL TREAT HIM LIKE A MAN HE IS! A GOOD MAN! CONSIDER IT SHOWING APPRECIATION! Watu kibao nimetoka nao hawajaniboreshea chochote zaidi kujipanga folleni na kujirisk na mitandao tu, faida iliopatikana 0!

YOU ARE TOO YOUNG TO UNDERSTAND THIS!!!!!!!! Wahi club mnakolipana kwa tendo!
Kwa hiyo lara moko huyu mume wa mtu anataka kukuboreshea maisha bure? Kwa maneno mengine suala la mapenzi ni wewe tu ndio umeamua lakini yeye wala hataki??? Hebu nijibu kwanza hapa ndio nitaamua kama hii ni biashara kama nyingine au vipi.
 
I dont need to show anything, I NEED TO GET BACK TO MY PLACE WHERE I REALLY BELONG AMONG MY PEOPLE!!!!!!!! IF YA RESPECT IS LOST YOU DO WHATEVER IT TAKES TO EARN IT BACK !!!!!!!!!!

Those are my people as rude as they maybe i am still THEIR PERSON they need to learn to respect that! I can just give up my life too easily! Just because some accident knocked me down! Naaaaaaaah!

I dont need MONEY, i nee to be ACCEPTED AGAIN and MONEY WILL FACILITATE THAT!

If it was my hubby ILL LET IT SLIDE! Its not like the girl will keep him permanently or something! I will still keep my lions share, after all i would be the one who is BLESSED but she would just be lucky that my man TEMPORALLY looked at her! I WOULD LET IT SLIDE! Just out of showing some compassion for the WEAK!
Hebu ngoja tuanzie hapo kwenye nyekundu. Hiyo nafasi ni ipi hasa, na ni kwanini unadhani ndiyo nafasi yako?? Hebu fikiria tena huenda hiyo nafasi unayodhani ndiyo yako wala siyo yako.
 
Hahaha! Lara_1, kuna thread ulikandia ndoa ukadai waume ni pasua kichwa. I remember i told u its good 2 hv smone 2 share tabu n raha, 4 better or worse. Ukiwa na good news wa kwanza kumwambia, lkn hata kwenye bad news ndio comfort yako ya kwanza pia.
Kina ozil, ronaldo, mesi, rivaldo wamekutosa?

Umeamua kuwafata pasua kichwa wetu kwa excuse ya ajali. Unajuaje km hawa-take advantage ya jinsi ulivyo desparate now? Its high time utafute pasua kichwa wako
 
Kwanza kabisa sijawahi muheshimu mwanamke mwenye mali au pesa za kutosha iwapo hizo pesa ni za kuhongwa.Wapo mademu kibao hapa mjini,tunawajua wana pesa ndefu,ni maarufu,ila tunajua ni pesa za kuhongwa na wanaume kwa kugawa mbuye,kiukweli wala hatuwaheshimu,tunawadharau.Kwahiyo,kama unatafuta heshima kwenye jamii,njia unayotaka kutumia haitakufikisha.
 
Hahhaaaa...huyo jamaa atakuwekea red TRILLIONS?thubuuutu!....situation ni serious kivipi?katika level gani?maana umesema unataka hela ya bakora kwa hao rafiki zako...sasa it means hela ya maisha ya kawaida unayo sema unataka hela ya "bakora'...very,very funny!

SITUATION NI SERIOUS!!!!!!!! SINA FURAHA KABISAA WALA AMANI! Nawaza waza WOULDNT IT GET WORSE THAN IT ALREADY IS!!!!!!!!!? Hata nikila sisikii laza, hata game of thrones naona inaboaaa! Hata movie za kikorea zinanikeraaa! Zanzi, amarula, hakuna kinachotirirka kooni!

CHEZEA STRESS WEWE NA KUZARAULIKA! Na kinachonitisha mambo yakiendelea hivi ITAKUWAJE? Sio tu kupiga watu bakora pia PERSONAL SATISFACTION YA MAISHA YANGU inagomba! fano nataka kufanya kitu nakumbuka I CANT AFFORD IT ANY LONGER! Inatisha usifanye masihara!

NAKARIBIA KUAZIRIKA MJINI HAPA MWENZIO! Ndo maana nimeamua niazirike nikipambana sio kunyanyua ikono mapema! (ITS NOT A LAUGHING MATTER!)
 
kaza mama maisha ni vikwazo mbna hawa wengne achana nayo maana nao wanamapungufu pia
 
Kwanza kabisa sijawahi muheshimu mwanamke mwenye mali au pesa za kutosha iwapo hizo pesa ni za kuhongwa.Wapo mademu kibao hapa mjini,tunawajua wana pesa ndefu,ni maarufu,ila tunajua ni pesa za kuhongwa na wanaume kwa kugawa mbuye,kiukweli wala hatuwaheshimu,tunawadharau.Kwahiyo,kama unatafuta heshima kwenye jamii,njia unayotaka kutumia haitakufikisha.

Hahahaaaaaa! Zarau zako hazipunguzi nguvu ya kiyoyozi wala hazikaushi wese la ndinga! I JUST THINKING OUT LOUD!

ITS BETTER TO CRY ON THE BMW THAN ON THE BICYCLE!!
 
Hahaha! Lara_1, kuna thread ulikandia ndoa ukadai waume ni pasua kichwa. I remember i told u its good 2 hv smone 2 share tabu n raha, 4 better or worse. Ukiwa na good news wa kwanza kumwambia, lkn hata kwenye bad news ndio comfort yako ya kwanza pia.
Kina ozil, ronaldo, mesi, rivaldo wamekutosa?

Umeamua kuwafata pasua kichwa wetu kwa excuse ya ajali. Unajuaje km hawa-take advantage ya jinsi ulivyo desparate now? Its high time utafute pasua kichwa wako

Sasa si ndio HUYU JAY Z ndo tunaenda nae sawa! UMESAHAU NILISISITIZA HERI KUWA SPARE TYRE YA LAMBORGHIN!!!!!!!!! Nilikuwa na yangu!

Hao wenu si ndo TUNABANANA HAPO HAPO ama vipi! LOL! Ujanja kupata sio kuwahi!
 
Hebu ngoja tuanzie hapo kwenye nyekundu. Hiyo nafasi ni ipi hasa, na ni kwanini unadhani ndiyo nafasi yako?? Hebu fikiria tena huenda hiyo nafasi unayodhani ndiyo yako wala siyo yako.

Nafasi hiyo ni yangu cause ilikuwa yangu na ni LAZIMA iendelee kuwa yangu kwa gharama yoyote! FAILURE IS NOT AN OPTION!
 
Lara 1 naamini umeleta changamoto au tuseme bungua bongo au fumbo. haya mambo yapo sana na huwa mwamuzi haendi hadharani kutangaza nia bali huenda kimya kimya! adoado akikolea mwendo mdundo! come what may. ushauri hutoka wa aliye karibu sana.
 
Kwa hiyo lara moko huyu mume wa mtu anataka kukuboreshea maisha bure? Kwa maneno mengine suala la mapenzi ni wewe tu ndio umeamua lakini yeye wala hataki??? Hebu nijibu kwanza hapa ndio nitaamua kama hii ni biashara kama nyingine au vipi.

Bwana huyu kanizimia, kichuna wa haja, kakolea, and whatever condtions, whatever the rules, whatever the case ataka kuenjoy my company, to spend some quality time and to share some wonderful moments na bibie mie! Hafosi mahaba! Anaweza kuafford wadada kibao mjini hapa akitaka!

Sasa mimi I AINT PLANNING ON TAKING ADVANTAGE OF HIM OR SOMETHING! Since he has been too kind and charitable to me at my worst moments najua akitakacho, na nitampatia! Atleast to make him Happy! To make him feel like a man he is! TUCHEZE LIGI YA KIUTU UZIMA! I will be showing him gratitude for his compassion he showed me!
 
Hahahahaaaaaaaaaa haki ya nani taratiiibu basiii Tina cute asisikie lol!

Kwani tinna na yeye anapenda kujirusha na wababa wenye nyumba???

Hebu ngoja akamu zis wei asome katiba yetu...
 
heee!! kweli dunia haiishi vituko kwa hiyo mimi ndio nimegeuka wa club hee?wewe mwenyewe unataka kufanywa kwa pesa kosa langu nini nataka nione kama its worth it kujivua utu wako kwa hiyo amount, lakini ni bora kuliko kutoa bure kwa hiyo foleni ndefu tena hawana shukrani heri umpe huyo atakayelipia kwa mwezi ( maana si kwa tendo kama ulivyodai) unaona sasa mimi nimekariri nikajua huwa malipo ni kwa tendo kumbe ukahaba umebadili muelekeo mambo ya kidigitali hata pre payment yaweza kuwepo. k

HAYA WEWE MTAKATIFU USIE NA DHAMBI! HERI YAKO! Kaa mbali na sie wadhambi tusije kukuambukiza! BIKRA WA KIUME! (Kupenda migegedo ya bure nyooooooooooooooo! Hao unaowafanya bureeeeeeee sio makaba eheee coz wanakupa kwa mkopo? Hovyooo!)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom