Nimelazimika Kutembea Na Mume Wa Mtu! Sina Jinsi! Kama Mumeo Ungenilaumu Kweli!

Yale yaleee ya mafanikio makubwa ya wasichana wa sasa ni kuwa kimada wa wazee, dah bado tuko nyuma sana!
 
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Husikeni na kichwa cha habari hapo juu!

Kwa utangulizi mfupi mimi nilipata ajali July sasa kutokana na hiyo ajali bado naumwa umwa mara kwa mara! Namshukuru Mungu sikulemaa ila ocassionally nikitembea sanaa mguu unavimba nakuwa nachechemea! Pamoja na ajali mambo yangu mengi mwaka huu yamevurugika vurugika, na huku kuumwa mda mrefu sina hata uhakika nitapona lini kumeleta mambo mengi sanaa yasiyo furahisha ikiwemo kutikisika kiuchumi na kulazima kuwa na savings kubwa incase emergency ya kwenda kutibiwa nchi za watu nisiabike! Nimejikuta ninahitaji la mamilioni wakati mia sina!lol! Kuumwa huku kazi imenishinda, dili zinasuasua mda mwingi nakuwa nauguza mguu. (msisikitike sana ndo maisha hayo! ITS NOT THAT BAD!)

Sasa wakati mimi nikishuka wenzangu wamepanda sanaaaa! Wamefanya ambo makubwa! Ni heri yao wala siwaonei wivu ila wanaleta zarau! Ujue mimi naumwa afu nimekwamaa instead of showing compassion and remembering the good things i did for them wanaleta compeee! As if i am finished! (Maybe i am truly finished) Its over for me, sina thamani tena, full kuwa ignored. I dont matter no more. Sababu naumwa kuna watu nawadai hawanilipi, nitawafanya nini wakati afya mgogoro, kuna watu wananisikitikia sasa sijui kweli au unafiki, All in all MIMI HAYA MAISHA MAPYA SIJAYAKUBALI! WALA SITOKAA NIYAKUBALI!

I am so bitter in my heart hadi nikiingia humu naona mada zote zinaniboa tu! Yaani nawaza for how long niwaache hawa watu waendelee to look down at me, wanikalie kichwani, waone wamenializa! Hapana aiseee! Naturally mimi ni fighter! sio mnyonge! They have pushed me too far kwenye point of being capable of doing anything! I will do anything to build up myself again so that i can only TAKE CARE of them snitches! I want to rebuild my self ili niwashughulikie tu, one by one without showing any mercy. Siwezi kuishi hivi for the rest of my life. And dont tell me do nothing! Cause if i do nothing, nothing will happen.

Talk is CHEAP, i want to build myself Yeah! yeah! yeah! everybody surely wants that. The million dollar question is HOW!????? Sasa kuna waume za watu hawa 2, wamejipendekeza anga zangu at dangerous times like these! Hawa bwana they have what i need to whipe out all my enemies and troubles with just 1 word NIMEKUBALI!! Nataka nitangaze vita na multiple people and war means funds, and funds is what i dont have, na huko kujirestore to my previous position it aint a cheap procedure! Itanicost dearly! Yet its something that must be done! Hawa bwana nataka nichague mmoja and they have DISPOSABLE INCOME! Hizi stress zote nilizonazo can kujiachia na mume wa mtu be worse than hizi stress? I dont think soo!

Dont get so sentimental! Sio kwamba namchukua, im just borrowing him for some time KUJIOKOA kujiboreshea maisha kidogo! I deserve a little bit stress free life dont i?(Ofcourse the wifey deserve the most part of it sababu walionana mapema ila nikidokoa kidogo she wont mind) Besides SHIT HAPPENS BECAUSE IT JUST DOES!!!!!!!! Its not my fault or her fault that i got sick! But i got sick anyway! Its not like she will know or something!

Before you get SO JUDGY AND CONDEMNING dont be selfish and think a little me about me! Najua hii njia sio bora but dangerous times call for dangerous remedies! Do you really suggest MWENYE NACHO AJILIMBIKIZIE (Ana mume, kazi, happy family, mali everthing you wish for) NA MIE WANIMALIZIE KABISAAA! Kweliiiiiii? Hata msisuggest nifanye biashara coz itafilisika dakika2, akili haijatulia kabisaa, na moyo umejaa kisasi, Ndugu wa kunisaidia ni bi mkubwa wangu ila inabidi nimwambie hela za nini, sasa nikimwambia walivonifanya atapata uchungu zaidi ya wakwangu anaweza hata kupata pressure bure na sononeko kuu , ndugu zangu wengine wako kwenye list ya kushughulikiwa! Na hii kazi inahitaji disposable income cause hairudi!

Mambo ya kumuomba Mkuu, tuyaweke kando, kutokana na nature ya hili zoezi ni kulipa kisasi! Sio kwamba kuwasemehe nimeshindwa but ieshindikana sababu hii tabia chafu wataiendeleza, na tutaishi bila kuaminiana hadi lini, nalazimika kuwa descipline na kuwafundisha somo wasirudie tena! Haya masuala ni muhimu sana kwangu kupita mnavozani. Hakuna kitu kinauma kama kukataliwa na jamii yako bila sababu za msingi. Unaweza hata kunywa poison kama huna roho ya mchongoma!

Kweli if it was your hubby will you be mad at me? Show mercy! LOL! Na mliowahi kujiachia na waume za watu, why? and did you have any remorse? Embu nipeni INSIDE STORY kidogo.

"Free money is always good money"
Its true that what the wife doesnt know wont hurt her, yet again her not knowing about it is not guranteed. Usije ukamwagiwa tindikali...
About ur status in the society and the respect u so crave from these so called friends. I honestly dont think its worth it.
I believe everything hapens for a good reason. Sometimes God lets bad things hapen to us for a purpose. God works in misterious ways
In your case, maybe among other reasons, God wanted you to see how pathetic ur friends are. So u can learn to find better people to call friends. Seems like u didnt get the point.
We always have a choice. U can choose to leave ur wannabe friends and move on with ur life or screw a married man for money to earn respect that is fake.
Play ur cards right.
I hope u get better and find happiness soon. Wish u luck.
 
Mmmh....unakosea bwana....kwanza hela yenyewe unaitaka kwa wrong reasons,itasolve hilo unaloliita "tatizo" wakati sio tatizo at all...pili ukimwi unaweza pata 100% as i know hawezi toa mapesa yote hayo halafu avae condom,ni uongo,hawavai.....unaruka maji unakanyaga moto kwa kujitakia.....wee nani kakwambia unaishi kwa kushindana kipato na ur people?eti unaseek acceptance kwa ur people kwa kupata vi temporary money vya show off?infact watakuexpose tu kwamba ni pretender tuu,be urself,huna hela kula kimya na wajue,ukipata hela endelevu wataona,and they will even respect u more coz u aint pretender.

Haaaaaaaaaaaaaa! Waume za watu ni WATEJA WAZURI SANAA WA CONDOMS! Nani anataka KUTOA MATUMIZI YA MTOTO NA KUDAIWA MIRATHI! Tena huwaambii kitu! Ngono zembe ni in the name of love tuuu!

Na hilo kusea napretend na nini its not like AKINIINUA BASI NAJIBWETEKAA! Nooooo! Nilikua na uchumi wangu umeporomoka, sasa naujenga upya, ila ndo imebidi nipate back up! Nina lonterm plans zangu madhubuti sema on the short run sina jinsi zaidi ya kumtegemea Baba S!

Its not like im proud or something, ni kwamba tu MJINI KUTAMU MWEEEEE! Mnataka mbakiege nyie tu mweeeeeeee?
 
They are my people ofcourse! Udugu haufi kwa zarau chache chache, urafiki wa utotoni hauwi replaced na urafiki wa ukubwani!

IF YOU LOOSE RESPECT AT ANY POINT IN YOUR LIFE, YOU EARN IT BACK ATA NY COST! Otherwise ukiwa lelemama ukaenda kuanzisha new relationship its not like they will become your people or something! YOU WILL ALWAYS BE A STRANGER UNTILL YOU GROW SOME BALLS TO GO BACK TO YOUR PEOPLE AND TAKE YOUR RIGHTFUL POSITION BACK!

naona una silaha za maangamizi kabisa leo!!
Sasa Lara mpenzi how sure are u kwamba unacho akitakacho huyo mume wa mwenzio,maana nina uhakika anayo menu yake kichwani ya unavyotakiwa kuserve,what if akikuta sivyo alivyokadiria akaonja akatema tena kwa maneno ya shombo,how will you feel,unajiamini nini kwa kifupi.Akitaka michezo ambayo mkewe labda kamnyima au hana guts za kutaka kutoka kwake uko tayari.
 
Umeona eh? Wamuwache lara 1 alone puliz.

Mpwa kumbe waume za watu tunawindwa hivi...

Kama vipi tufungue kampuni ya kugawa penzi kwa mabinti wanaotaka miopotyuniti...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: PLL
Mpwa kumbe waume za watu tunawindwa hivi...

Kama vipi tufungue kampuni ya kugawa penzi kwa mabinti wanaotaka miopotyuniti...

Ha ha ha haaaa hizo kampuni msajilie Kenya au Rwanda, manake wake zenu wakizigundua hapatakalika lol!
 
"Free money is always good money"
Its true that what the wife doesnt know wont hurt her, yet again her not knowing about it is not guranteed. Usije ukamwagiwa tindikali...
About ur status in the society and the respect u so crave from these so called friends. I honestly dont think its worth it.
I believe everything hapens for a good reason. Sometimes God lets bad things hapen to us for a purpose. God works in misterious ways
In your case, maybe among other reasons, God wanted you to see how pathetic ur friends are. So u can learn to find better people to call friends. Seems like u didnt get the point.
We always have a choice. U can choose to leave ur wannabe friends and move on with ur life or screw a married man for money to earn respect that is fake.
Play ur cards right.
I hope u get better and find happiness soon. Wish u luck.

Perhaps you have a good point! I JUST CANT GIVE THEM THE SATISFACTION OF SEEING I AM FINALLY FINISHED! FINITO!

I cant just let their DISRESPECT and CRIMES thay committed againt me, while i am on MY SICK BED SLIDE one bit! I will PERSONALLY make sure THEY PAY FOR THEIR CRIMES, BACK STABBING, MISTAKES ONE BY ONE! I will always feel THEY OWE ME A BIG DEBT! which is not good for my health!

Then i can proceed with your advice!
 
My dia nakusuport,, unajua ile kitu ni mtaji tosha itumie vizuri to be where u want to be...........................
After all hiyo pesa utakayochuna haina riba wala marejesho!!!
Gud lucky girl.
 
Mpwa kumbe waume za watu tunawindwa hivi...

Kama vipi tufungue kampuni ya kugawa penzi kwa mabinti wanaotaka miopotyuniti...

Mpwa hakika wewe una busara sana. Hili liingizwe kwenye rasimu ya katiba. Madogo wameshindwa kazi, acha kaka zao tuwasaidie.

Hili halitupi sababu ya kukutana mbele ya glasi zenye vinywaji baridi kulijadili?

Mtambuzi panga ratiba chapchap sana.
 
Last edited by a moderator:
naona una silaha za maangamizi kabisa leo!!
Sasa Lara mpenzi how sure are u kwamba unacho akitakacho huyo mume wa mwenzio,maana nina uhakika anayo menu yake kichwani ya unavyotakiwa kuserve,what if akikuta sivyo alivyokadiria akaonja akatema tena kwa maneno ya shombo,how will you feel,unajiamini nini kwa kifupi.Akitaka michezo ambayo mkewe labda kamnyima au hana guts za kutaka kutoka kwake uko tayari.

Mmmmmmmmmh! LEAVE THAT TO ME! Mume wa mtu its not like those few change to spare kwake ni BREAKING NEWS! Noooooo! All he wants is a nice COMPANY and to spend time with some GOOD PEOPLE like me!

Naweza kumuomba tu kwa FRAUD nikamwambia inabidi nipelekwe India nisaidie, na vitu kama hivo lakini as i told you I TREAT MY GOO FRIENDS WAY OUTA OF BEST TREATMENT AND MY ENEMIES WORST OF THE WORST!

He is a MAN, A good man! sitaki kumfanyia janja ya Hamida Rashid alivomfanyia Prof Kapu, nooooh! I JUST WANT HIM TO FEEL THE FEW CHANGE HE SPARED TO RENOVATE MY SHATTERED LIFE AND GIVE E BACK WHAT IS RIGHTFULLY MINE WAS WISELY SPENT AND AMONG THE BEST THINGS HE EVER DID! Ill give him the time of his life at best of my ability! One favaor for my HERO aint an issue!
 
mkifungua hiyo kampuni naomba niwe wa kwanza kujulishwa

nithitaji hiyo opotyuniti

Hehehe....

Tena wewe utakuwa memba wetu pamanenti...orodhesha kabisa shida zako zote za kifweza tuandae fungu lako mapema...

Halafu hebu chagua unataka tukulipe kwa madafu, dolare au yuro?
 
My dia nakusuport,, unajua ile kitu ni mtaji tosha itumie vizuri to be where u want to be...........................
After all hiyo pesa utakayochuna haina riba wala marejesho!!!
Gud lucky girl.

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! RIBA NA MAREJESHO! Bank zingekusikia! LOLEST!
 
Unakata tamaa kwa kuchechemea je ungepata ajali ukakatika miguu yote leo ungesemaje? Lilo ni jaribu tu usipolishinda kuna kubwa zaidi ya hilo..........
 
  • Thanks
Reactions: PLL

Similar Discussions

Back
Top Bottom