Ofisi: PPF
Wizara: Fedha
Nchi: Dubai
Perdiem zao kwa kila mchana wakiwa Dubai USD 600 (Tshs 960,000), Wamelipwa USD 600X7days ambazo USD 4200 (Tshs 6,720,000)
Kwa huyo mdada uliye naye, amekustahi ngoja jioni hii anywe pombe ndipo utagundua kuwa hata wanawake huwa wanabaka, na leo lazima ubakwe na huyo mama hatachangia malipo ya hotel bali utalipa zote wewe.
Sipendi kuwataja majina. Mmeondoka jana mmnarudi Jumamosi
Ofisi: PPF
Wizara: Fedha
Nchi: Dubai
Perdiem zao kwa kila mchana wakiwa Dubai USD 600 (Tshs 960,000), Wamelipwa USD 600X7days ambazo USD 4200 (Tshs 6,720,000)
Kwa huyo mdada uliye naye, amekustahi ngoja jioni hii anywe pombe ndipo utagundua kuwa hata wanawake huwa wanabaka, na leo lazima ubakwe na huyo mama hatachangia malipo ya hotel bali utalipa zote wewe.
Sipendi kuwataja majina. Mmeondoka jana mmnarudi Jumamosi
Umekwisha ndugu yangu! Mi iliwahi kunitokea, nikaishia kula mzigo na bill ya chumba nikalipa mimi yeye aka save hela zake na tulivyorudi bongo akapiga sura ya kazi utadhani sio yeye. Sikuamini pale nilipojaribu kuomba mechi ya home ground nikatolewa nje na matusi juu!Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious,Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.
Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana.
Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo.
Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.
Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.
Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.
Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh.
Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.
Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.
Nadhani hukumwelewa vizuri huyo mfanyakazi mwenzio. Aliposema msave gharama alimaanisha gharama za wewe kutafuta changudoa na gharama za yeye kutafuta kaboy ka kumsuuza.
Tafuteni chumba cha twin bed kama kweli hamna mpango wa kudo! Otherwise, yeye atasave, ila wewe gharama zile zile. Mtolee nje, huo ndio uanamume na si kummega. Tena ukimtolea nje, atakuadmire na wala hatakuwa na guts za kusimulia!
Pole kwa ID yako kuwa compromised; coz jamaa keshakujua na hii story yaweza sanuka ofisini kwenu. Usifanye chochote!
kazi kwenye wake walio PPF safarini!
mkuu huyo mwanamke ni mhuni na mjanja.utashangaa siku tano hizo wewe ndio unalipa kila kitu yeye hata mia hatoi utarudi nyumbani kwa mkeo hata hela ya mboga huna..ushauri kila mtu alale chumba chake hata kama mtalala siku mojamoja pamoja sio mbaya lakini ieleweke kila mtu anatumia pesa yake.usipoangalia yeye atarudi na pesa yake yote wewe mikono mitupu.
Ungesubiri hadi baada ya hizo siku tano ndio uingie hapa JF!... Manake sasa kama vile unataka kutupa story yenye Part I, II, III... au kugeuza ukumbi huu kama journal...
watu wengine bwana, tatizo siyo kulipa issue hapa ni demu kupigwa mti...wewe mbahili kajenge wenzio wanatia.
kwanini iwe mwanamke ana pepo la ngono na siyo mwnaume? unaweza kabisa ukalala naye siku 5 pasi kufanya chochote kwani wewe huwez kulala na dada yako?