Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Mnasevu au anasevu yeye! Hivi kwa akili yako utalala nae 5 days afu mpige pasu gharama za chumba... Ngoja nikwambie usiku wa leo lazima umbandue si unajua leo akili imetulia uchovu umeisha afu mmekula vizuri kwenye semina ugali kuku kidali na coke..afu kuanzia kesho unaanza kugaramia msosi na chumba for the rest of the days.. Pesa yake saluni nguo na viatu..chezea bidada wewe!
 

Nakukatalia.... mbona katika maelezo ya jamaa, hakuna popote ambapo inaonekana huyu mwanamke ana pepo la ngono. Sana sana ni jamaa tu ana wasi wasi... kama kweli anajiamini kama mimi alale nae tu ... ni swali la kujiamini zaidi na kuamua kutovunja maamuzi yako.
 

Kama umeweza siku moja utashindwaje siku ya pili, tatu, nne na hatimaye tano? ila take from me hata ukiamua kuchukua chumba kingine kukwepa haya, mukirudi bongo atasambaza story kwamba wewe ni kimeo wala siyo riziki. Mi nadhani ungeangalia namna ya kutunza hiyo heshma yako kwa kumpiga mashine. Kwasababu mpaka sasa umeshusha sana heshma yako kwa ghalama ya ku-save
 
Chalaangu manuu we ni no, ni nomaa..

hili li stori unaeza tunga kitabu... sasa hujaeleza zaid hizo siku 5 zimeishaje ishaje na mko ng'ambo ambako macho ya wanadamu hayawaoni..?

uongo njoo... utam kolea...:coffee:
 
na wewe joka la kibisa...yaani huyo mimi nisingefikisha hata siku tatu anatema mate yanaishia kifuani kudadadeki...yaani mate mazito kama kala gundi......semina ikiisha anarudi dar es salaam breki ya kwanza ni kliniki...sio qwewe unachekacheka tu hapa na kuomba ushauri wa mautumbo ya bata hayo...hebu tupishe bwana tuko bize na ziara ya baba mwanaasha huko Brazil
 
We wacha kumuomba mungu akupe ujasiri, wakati unamkaribia shetani kuliko mungu.
 
Kukurubia zinaa ni dhambi sawa na kuzini kwenyewe, km unamuogopa Mungu usingejaribu hata kukubali mtego wa kushare chumba, mpaka hapo una viroba vyako vya dhambi kadhaa (mind u, sikuhukumu, ni fact!). Mwisho wa cku chukua maamuzi magumu ya kuepuka uzinzi huo tarajali ili ujilindie heshma, Mungu atakulipa kwa ujasiri na nia yako. Na cku nyingine usishirikishe wanajamvi ktk dhambi zako, kwa ushauri karibu ila ukitenda dhambi jutia kimyakimya na utubu kwa Muumba wako!
 
hii ni sawa na kufungia fisi kwenye bucha akulindie nyama

hapo sasa kama hutakuta hata sign ya mfupa hakuna
Maana utaikuta nbucha nyeupe kama haikuwahi kuwa na nyama vile


Mr Rocky, acha wivu mkuu badala umshauri jamaa akandamize wewe unamshauri aache kweli?....hahahahaha

Sio wivu mkuu
Naufuata ule msemo usemao ndoa na iheshimiwe na watu wote
jamaa hapo anaweza kusave money ila ndoa yake huku itakuwa imeingia kwenye mkopo tena ambao haulipiki
Kama kaweza kuvumilia one day (though in reality naogopa sana kuiamini hii habari yake) ajifunze yaliyotokea jana yake na ahame chumba na kukaa mbali na huyo dada mke wa mtu
 

hah hahaaa nimgonga LIKE mkuu.. chezea siku 5 wewe..!
 
Wakubwa habari zenu...eti maeneo haya kuna atm wapi ya crdb!.....
 
hapo sasa kama hutakuta hata sign ya mfupa hakuna
Maana utaikuta nbucha nyeupe kama haikuwahi kuwa na nyama vile

kuna mazingira watu hupenda kuyaweka na kudhania kama ni ya kawaida wakati ni magumu .. baadae unnaomba muongozo ... kitengo cha kukubaliana nae kuchukua room moja tayari umekubaliana na umeamua kukabiliana na yote
 
Huyo mwanamke usipo mla, atakushangaa na kukudharau sana. Mkirudi nyumbani hapo ofisini kwenu lazima awasimulie kuwa mzee wewe hauko fit! Linda urijali wako kwa kumchapa nao!
 
Siku 5 chache sana. Nadhan hata ingekua mwezi ungeweza, its just a mind set. Endelea kujipiga ganzi mwanawane.
 
hii ni sawa na kufungia fisi kwenye bucha akulindie nyama

Mr Rocky, acha wivu mkuu badala umshauri jamaa akandamize wewe unamshauri aache kweli?....hahahahaha

kuna mazingira watu hupenda kuyaweka na kudhania kama ni ya kawaida wakati ni magumu .. baadae unnaomba muongozo ... kitengo cha kukubaliana nae kuchukua room moja tayari umekubaliana na umeamua kukabiliana na yote

Hakukuwa na haja ya kuja kuomba ushauri hapa
Yaani alijua kabisa kuwa mazingira ni lazima yawe magumu
Mwanamke na mwanaume ndani ya room moja na kitanda kimoja na then unasema mwanamke ana pepo wa ngono kutoka wapi
Hata kama uzalendo ukikushinda huwezi kumsingizia shetani eti shetani alinipitia
Kuna sehem ambazo mpaka shetani anasingiziwa na mojawapo ni hii
 
Huyo mwanamke usipo mla, atakushangaa na kukudharau sana. Mkirudi nyumbani hapo ofisini kwenu lazima awasimulie kuwa mzee wewe hauko fit! Linda urijali wako kwa kumchapa nao!

Hii imenichekesha na ina ukweli kiasi f'lani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…