Nimelala na muathirika wa VVU

Nimelala na muathirika wa VVU

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
483
Reaction score
605
Habari Wana JF

Wiki mbili zilizopita nilikutana na dada mmoja jirani yangu tukabadilishana mawasiliano
Baada ya mawasiliano Yakama siku mbili alipafahamu kwangu na akaja kunitembelea .

Kutokana na hakuna na mahusiano na ilikua usiku tulijikuta tumeshiriki tendo la ndoa ila hakukua na michubuko yeyote iliyotokea.

Jana nilimuomba tuonane tukionana barabaran ila kuna jamaa aliezaa nae alituona na alikua ananifahamu sababu Mimi na yeye nimarafiki ilasiokivile.

Jamaa alintafuta nakuniweka wazi kuhusu yule dada nakuniambia kua yeye amezaa nae ila baada yakumkuta na dawa walienda wote kupima yeye akawa mzima ila dada ndioakawa anao
Hivyo alinitahadharisha pamoja nakunionesha dawa zake alizomkuta nazo.

Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Pole sana mkuu
Dawa za kujilinda huwa ni ndani ya siku tatu uwe umeshakunywa, tofauti na hapo labda iwe hamkuchubuana.
 
Elimu kuhusu vvu bado sana nahisi serikali iongeze wataalamu ili kulinusulu taifa hili, sasa mkuu nikurudie vvu haiambukizwi kwa kutokuchubuana bali hata majimaji ya ukeni ukipiga kavu hua na virus vya vvu ila kama anatumia dawa viral load hua ni Chache sana kwaio probability za kupata zinakuwa ndogo ila kama alikuwa hajui status yake na hatumii dawa vizuri basi kapime upate uhakika.
Genye zitawaua nunua mipira weka geto
 
Siku hz sijisikii kabisa kutumia ndomu lazima nipige nyama nyama ila nitakuwa na tahadhari ya kutosha

Sitakiw kuipiga sana hata ikitokea nimechelewa kupiz basi ntaacha na nitaendelea baadae

Tena hichi kina dalili kabisa,kina miguu minene,pia kwenye ngozi ya chini inayofunika macho ni kama imevilia yaan inauwekundu zaidi kenyew ni keupe,afu ngozi yake pia imepauka kiasi hasa shingoni
 
Hivi kwa binti bikra mwenye ngoma aliuozaliwa nayo kutoa unaweza mkuu tena kavu?
 
Duhhh kama manii yanasababisha kwann mtoto anazaliwa bila maambukizi
 
Hivi kwa binti bikra mwenye ngoma aliuozaliwa nayo kutoa unaweza mkuu tena kavu?
Bikra siwez,maana nikilalaga na vibinti vidogo sana huwa najihis kama nimekatwa na wembe

Hata hichi ninachokisema sio kikubwa sana lakin kuna mwamba niliwah muona kakivusha na alipiga usiku kucha
 
Siku hz sijisikii kabisa kutumia ndomu lazima nipige nyama nyama ila nitakuwa na tahadhari ya kutosha

Sitakiw kuipiga sana hata ikitokea nimechelewa kupiz basi ntaacha na nitaendelea baadae

Tena hichi kina dalili kabisa,kina miguu minene,pia kwenye ngozi ya chini inayofunika macho ni kama imevilia yaan inauwekundu zaidi kenyew ni keupe,afu ngozi yake pia imepauka kiasi hasa shingoni
VVU HAIPIMWI KWA MACHO EPUKA MATAPELI FIKA MAABARA
 
Hichi kibinti mama na baba ake wanao,tena mama ake ni wale wamama mashalah na hanaga noma yule mama alishawah kusema kwamba dogo anao alimzaa nao,pia kuna jamaa yang aliwah piga kwa huyo mama ila akaacha,lakin huyo mama aliwah mfata waendelee na kumweleza kwamba anao ukimwi,yaan yule mama ukimwi ashauchukulia simple tu
 
Elimu kuhusu vvu bado sana nahisi serikali iongeze wataalamu ili kulinusulu taifa hili, sasa mkuu nikurudie vvu haiambukizwi kwa kutokuchubuana bali hata majimaji ya ukeni ukipiga kavu hua na virus vya vvu ila kama anatumia dawa viral load hua ni Chichester sana kwaio probability za kupata zinakuwa coaches ila kama alikuwa hajui status yake na hatumii dawa vizuri basi kapime update uhakika.
Genye zitawaua nunua mipira weka geto
VVU vijana hawana elemu yakutosha, kwa sababu mucus za uke ndo kwa asilimia 75 ndo znachangia kwenye transmission ya ugonjwa huu kwasababu hata ukifanya tendo hata kwa sekunde 30 bila mchubuko wowote bado unaweza pata VVU, kwahyo kuupata VVU haijalishi mda ulio tumia au michubuko, ila kinacho matter je unae shiriki nae anazingatia doses kwasababu, hayo mawali kati ya michubuko na mucus vina matter zaidi kama doses znatumika so kijana akapime
 
Habari Wana JF

Wiki mbili zilizopita nilikutana na dada mmoja jirani yangu tukabadilishana mawasiliano
Baada ya mawasiliano Yakama siku mbili alipafahamu kwangu na akaja kunitembelea .

Kutokana na hakuna na mahusiano na ilikua usiku tulijikuta tumeshiriki tendo la ndoa ila hakukua na michubuko yeyote iliyotokea.

Jana nilimuomba tuonane tukionana barabaran ila kuna jamaa aliezaa nae alituona na alikua ananifahamu sababu Mimi na yeye nimarafiki ilasiokivile.

Jamaa alintafuta nakuniweka wazi kuhusu yule dada nakuniambia kua yeye amezaa nae ila baada yakumkuta na dawa walienda wote kupima yeye akawa mzima ila dada ndioakawa anao
Hivyo alinitahadharisha pamoja nakunionesha dawa zake alizomkuta nazo.

Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
RIP ulitaka mwenyewe sasa unalalamika nini. Si ungemmaliza kwanza kabla ya kutokomea kwa sababu utakufa tu
 
Ni ngumu sana mkuu, watu tushatindua kavukavu migoma ilomeza ARV zaidi ya miaka 20 na bado tupo negative.
 
Habari Wana JF

Wiki mbili zilizopita nilikutana na dada mmoja jirani yangu tukabadilishana mawasiliano
Baada ya mawasiliano Yakama siku mbili alipafahamu kwangu na akaja kunitembelea .

Kutokana na hakuna na mahusiano na ilikua usiku tulijikuta tumeshiriki tendo la ndoa ila hakukua na michubuko yeyote iliyotokea.

Jana nilimuomba tuonane tukionana barabaran ila kuna jamaa aliezaa nae alituona na alikua ananifahamu sababu Mimi na yeye nimarafiki ilasiokivile.

Jamaa alintafuta nakuniweka wazi kuhusu yule dada nakuniambia kua yeye amezaa nae ila baada yakumkuta na dawa walienda wote kupima yeye akawa mzima ila dada ndioakawa anao
Hivyo alinitahadharisha pamoja nakunionesha dawa zake alizomkuta nazo.

Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kapime mkuu, ingia upo within 72 hours, ningekupatia dawa za kuzuia maambukizi.
 
Back
Top Bottom