Ndio maana yake ni virus vile, ukienda kupima kwa Sasa hupimi virus Bali unaenda kupima kinga...hicho kipimio chenyewe vile Ni virus vikikutana vina react....[emoji2] viki-react majibu yanatoka positive, lengo ufe akili, maisha ya binadamu yamebebwa na fikra, ukiwa frustrated ujue ndoo kifo chako hicho kumbe huna virus vyovyote vibaya kwako,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa mtu kazaliwa nao mpaka kafikisha hiyo miaka inamaaa CD 4 zake hazishuki tu uongo mwingine bhn mkuu usitumie jazba kausha kwanza mpaka utapopqta utimamu wa akili