Nimekwisha iva.

Nimekwisha iva.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Chizi mmoja alipanda juu ya mti wa mwembe.Alijining'iniza mtini kwa kushikilia tawi mojawapo kwa muda wa nusu saa.Mara ghafla akajiachia na kuanguka chini na kuumia vibaya sana.Daktari wa vichaa akamkimbilia kwenda kumtibu. Alipoulizwa ni kwanini alijiachia toka juu mtini,akajibu kwa kujiamini;nimekwisha iva tayari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom