NIMEKWAMA.

eti njoo unipikie na kufua, unamaanisha wanaopaita nyumbani 'gheto' hata matumizi mengine ya lugha ni tatizo
Yaani ni tatizo siyo kwenye lugha tuu hadi kwenye kumjali mwanamke.
Akipaita kwake gheto ujue mpenzi wake lazima aitwe "demu" au "manzi"
 
Kwa hiyo pp yako ni heri uzidi kukwama tu maana Binti ataliwa hadi ajute kuwa na jinsia ya kike
 
Mtumie uchaw wa kizungu fanya kama hujui vile akiona 200K majibu utayapata baada ya dk2 tu
 
Ina maana wewe kuonana na mpenzi wako ni lazima iwe gheto? Yaani siku zote haujaonana nae kisa hataki kuja gheto?
Huyo Dada ana akili sana na ninampongeza.
Mueleweshe mkuu. Nahisi hajui wadada mnavyo feel mkiitwaga geto. Ushauri wangu mwambie ajiongeze mana mi naona aibu kumwambia Msukuma mwenzangu.
 
NAENDELEA KUOMBA ASIFIKE KABISAπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
Acha wivu wa kike!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…