NIMEKWAMA.

Acha uzinzi kamanda
tafuta mke uoe
 
Ina maana wewe kuonana na mpenzi wako ni lazima iwe gheto? Yaani siku zote haujaonana nae kisa hataki kuja gheto?
Huyo Dada ana akili sana na ninampongeza.
Maisha kigheto gheto
 
Huko ghetto ni kama anakuletea shingo chinja hapa, common sense bro!
 
we mwanamke ni mtata sana. Sasa kama amepanga chumba kimoja uani bado anatakiwa kusema nyumbani kwangu?
Ndiyo hata kama ni chumba kimoja cha msingi panamsitiri. Anatakiwa apatambue kama nyumbani kwake na siyo gheto.

"Khantwe njoo basi gheto unipikie na kufua" . hauoni kama imekaa kidharau dharau?


"Khantwe njoo basi nyumbani mama upike unisaidie kufua" ooh hii nzuri.
 
Heshimu nyumbani kwako. Paite nyumbani na siyo gheto.
My take ni kuwa the so called mabaharia hawayatumii hayo maneno... Utasikia demu wangu, gheto langu etc etc... Na ni wabishi kweli kweli kwenye hili.
 
eti njoo unipikie na kufua, unamaanisha wanaopaita nyumbani 'gheto' hata matumizi mengine ya lugha ni tatizo
 
Kwanza mwanaume anayeita kwake gheto duuh.
Mtu anitumie msg eti "baby njoo basi geto" naweza nikamnyonga.
Unataka asemaje kama bado kapanga.????
Na kupanga haimaanishi huna nyumba inawezekana upo eneo hilo kwa mda flan tu.
 
I see ningetangulia kusoma I'd yako katu nisingethubutu kupoteza muda wangu kutoa maoni yangu. sukariyawarembo. Kumbe unatusanifu tu..! Ng'ombe we
Tatizo huyo hajanionja ndo maana ananyodo.
Akishanilamba hawez kuniacha,, hata ww tukionjana huwezi niacha,,

Mi ni sukari haswaaa!!!
 
Kwahyo nyumbani ungekubali kuja?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…