sukariyawarembo
Senior Member
- Aug 2, 2019
- 169
- 119
Babe vinahusiana nini?Gari unalo?
Sidhani kama km 6 ni umbali wa mtu kokosa mda wa kuja, kama hana amfate na gari naamini hatakataa.Babe vinahusiana nini?
Ohoo sawa ila huyo dada namshauri akaushe tu ameletewa na zawadi ya kisononoSidhani kama km 6 ni umbali wa mtu kokosa mda wa kuja, kama hana amfate na gari naamini hatakataa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unamjua niniOhoo sawa ila huyo dada namshauri akaushe tu ameletewa na zawadi ya kisonono
Hicho ndo kisu cha waremboGari unalo?
Eeh kama hana gari akae kimya 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hicho ndo kisu cha warembo
NAENDELEA KUOMBA ASIFIKE KABISA🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿Habari wanajamvi.
Ndugu zanguni mwenzenu nimekwama kimbinu.
Kuna dada nilimtongoza mwaka mmoja ulopita akakubali na akaja getto nikamuomba gemu akakataa nikamuacha aende zake.
Baada ya wiki moja nikasafiri kikazi nje ya mkoa wangu(toka kanda ya ziwa hadi kusini mwa tanzania) tuliendelea na mawasiliano japo sio ya kila siku nilikuwa simtafuti maranyingi kwa kuwa bize mda mwingi afu huko nilipata mchepuko wa kimakonde ukanichanganya ukawa unanipa mauno kama feni bovu,msukuma mimi nikachanganyikiwa nikawa namtafuta yule binti wa nyumban mara moja kwa wiki.
Sasa miezi kama 9 imepita na sasa nimerudi kweny mkoa wangu,, nimezidisha mawasiliano nae huku nikimtaka aje getto lakini anasema hana mda akipata atakuja lakn ni wiki ya tatu hii kila siku story ileile eti hana mda akipata atakuja,, afu ananiuliza kwann nilivokuwa kule mawasiliano yalififia saiv nimezidisha???
Nimejaribu hata kumwambia kuwa nimemletea zawadi lakin haji tu(ni kweli zawadi nmemletea chupi na taiti)
Sasa ndugu zangu nimekwama namna ya kumshawishi naomba mnieleze namna gani nimshawishi ili aje geto nimchakate
NB: tangu nije sijaonana nae na si mbali sana na anakokaa takribani kilometa 6 tu.
Sina,, gari kitu bwanaGari unalo?
Nataka nimchakate,, sasa tukionana barabarani ntamchakataje???Ina maana wewe kuonana na mpenzi wako ni lazima iwe gheto? Yaani siku zote haujaonana nae kisa hataki kuja gheto?
Huyo Dada ana akili sana na ninampongeza.
Ko unanishaurije.Ana akili kufikiria mbele kuzidi wewe. Wewe unawaza ngono tu nae,na ameshalijua hilo. Ndio maana amegundua -1. Ulikata mawasiriano (maana yake ulikuwa na mwingine kwenye ngono tu). 2. Unamwita aje gheto tu,gheto tu (kwenye ngono tu). 3. (Sio yeye)Umemnunulia chupi na tait (unawaza vya ngono tu kununua). Kwa nini usinunue gauni,saa,viatu?. Ngono,ngono,ngono tu akilini mwako.
Siwez nikamuacha maana sijamchakata labda hadi nnchakate, afu demu mzuri, mweupe peee!! ,,jicho kama anasinzia,, jino jeupeee,,, chuchu sa sita,, japo hana tako.We jamaa Ni m ngese Sana.
Ulienda umakondeni, ukapata mwanamke wa kimakonde? Sasa inamana huko unashindwa kupata msu **** mwenzako? (Mwingine?)
We jamaa mbona unakwama kitoto hivi.
Toka pepo tokaaaaaNAENDELEA KUOMBA ASIFIKE KABISA[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hana smarphoneMwambie umemletea selfie stick atakuja