Nimekwama tena CAS ya TCU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekwama tena CAS ya TCU

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Esir, May 7, 2012.

 1. E

  Esir Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nimefanikiwa ku apply kwa system ya TCU, mimi ni diploma leaver, lakini nikifungua myprofile kilakitu kipo safi ila diploma index number yangu haionekani hapo, je kuna yoyote aliye apply kwa kutumia diploma na amefanikiwa lakini kwa profile yake diploma index namba haionekani kama mimi? au ni tatizo langu peke yangu? tafadhari msaada wandugu!
   
 2. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,018
  Likes Received: 37,753
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli CAS hii inasumba sana.Mimi binafsi kwenye profile yangu kinachoonekana ni form 4 na form 6 index number pamoja na gender tu.Taarifa zingine zote hazionekani na zote niliziingiza.Sasa sijui ndio maendeleo au adhabu kwetu?Sina jibu ila inaboa sana.
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Bandugu,jaribuni kufanya hizi application kwenye computer,simu mimi mwenyewe imenizingua,nikaingia i/cafe mambo yakawa shwari. Kama unatumia computer,jaribu kutumia nyingine uone!
   
 4. b

  bigmukolo Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mi nimeshindwa kabisa kufanya registration kwenye cas naambiwa voucher no does not exist..msaada pls
   
 5. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  wadau kuna m2 kafanikiwa kuapply akiwa na diploma in teaching? msaada plse
   
 6. atug

  atug JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  naombeni msaada wenu nimekwama CAS naambiwa vocha namba does not exist..nifanye nn?
   
 7. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Inaelekea hili tatizo limejitokeza kwa watu wengi! Kama ndo hivyo watumieni email.Au muwapigie simu.
   
 8. J

  JACOB MANG'OMBE Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  binafc nishawatumia e mail hawakujibu wiki inakatika sasa, well on top of that naomba wandugu niulize,kwa anayeapply frm diploma ile namba aiweke kwa format gani? Nimejaribu kuweka dot wapi, mkwaju hola. Namba iko hivi kwa mfano, OD.xyzxyz.D1.2012.
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wanaoambiwa Vchr # doesn،t exist vchr zenu mkiangalia vizuri mtagundua ni mpya(zimeandikwa exp date 2013) ni tofauti na wale waliotuma mwanzoni kwan wao wali2mia zinazo exp 2011(za mwaka jana) hizo mpya hakuna m2 alie apply zikakubali(m2 yeyote ninaemfahamu i.e) so nadhan bado hazijafunguliwa till now
   
 10. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mkiambiwa tunahitaji watu makini katika hii fani, mnaanza kulalama. mnaona sasa? huu ndiyo ubabaishaji tusioutaka kwa manufaa ya tanzania ijayo. kuondolewa kwa mikopo kutatuletea watu makini sana miaka ijayo, vuteni subra tu, itakuwa kama india vile
   
Loading...