Napita tu. Suala la kwamba siyo user friendly kwako, ni la muda mfupi,jitahidi kucheza nayo utaipenda,iko poa sana.
Naipenda sana win 8. Kila siku nagunda feature mpya. Ni vizuri kucheza nayo na kufanya uvumbuzi.
PC inaonyesha processor yake ni cha mtoto ukilinganisha na ukubwa wa win 8, hii inaweza kufanya laptop hata zile apps zisiweze ku-roll free. ikambidi kurudi mwaka arobaini na saba kwa win 7Napita tu. Suala la kwamba siyo user friendly kwako, ni la muda mfupi,jitahidi kucheza nayo utaipenda,iko poa sana.
Habari zenu wakuu!
Nina laptop yangu aina ya Samsung spec. zake ni 1.7ghz,2gb ram,300gb HDD imekuja na windows 8 nataka niiuninstall window 8 niweke window 7 coz windows 8 co userfriend kwangu,sasa kila nikiweka cd ya window 7 na kuboot laptop haiisomi cd nikajarib kuiacha hadi istart then nikarun cd kupitia kwenye my computer inaload kidogo inaonyesha inaanza system configuration,startup hlf inaleta error kwamba niirestart iboot tena ikiboot tena cd haiisomi,nikaingia kwenye bios kuchange boot order ianze cd lakini wapi imegoma,naomba mnijuze au kuna ki2 Microsoft wamefanya kwenye w8 tusiinstall naomba mnisaidie hili tatizo ni Mara yangu ya 1 ku2mia w8!!!!
natanguliza shukrani
ndume:Pc yako inaonyesha ina processor ndogo sana 1.7ghz hata win 8 iko kama wamelazimisha itakuwa hai-function vizuri. Ni vizuri ukitupia win 7.Code:
kuhusu tatizo lako nadhani tatizo lipo kwenye Bit copatibility, em cheki bit , either 64 ama 32, ili ujue kama CD win 7 ni compatible na hiyo win 8 yako.kama cd na window zinatofautiana, inaweza kugoma.
win 8 ni nyepesi kuliko win 7.
if i were u nisingeitoa hiyo windows maana windows 8 ipo light na faster kuliko 7 kuna possibility pc yako ikawa slow baada ya hio downgrade
kwa samsung boot option unaipata kwa kubonyeza esc umejaribu?