Eassy way to access any windows keys

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
Wakuu cijui kama hii ki2 hipo common kwenu na inaweza saidia ku avoid ku2mia pirated windows

Kuna Chalii wangu kaja leo nimuekee windows kaja na cd ina win 7 starter((zile wanapewa wanaonunua samsung Mini,kama recovery disc) na ACER laptop ambayo imepigwa chapa ya win 7 starter kwenye case ya cpu,,,nilipomaliza kumuekea nikaambiwa YOUU STILL HAVE THREE DAYS TO ACTIVATE

basi ghafla nika notice kwamba chini ya laptop yake kuna KEYS na nilipo angalia kwa mini laptop nyingi nikagundua pia nazo zina key kwa chini basi ni kaitumia ku-activate na nikaambiwa windows activated and is genuine,,,na baada ya hapo nika upgrade kwenda WIN 7 ULTIMATE na sasa huyo chalii wangu anatumia genuine win 7 ultimate

KUMBE SASA NINI KIFANYIKE?SISI KAMA WANA JUKWAA TUONESHANE USHIRIKIANO KWA HILI ,,,TUTAFUTE WENZETU WALIO NUNUA LAPTOP PRESCRIBED FOR WIN 8 WAANGALIE KWA CHINI NAKUZICHUKUA HIZO KEYS NA KWA ROHO SAFI ISIYO YA UCHOYO WAWEKE HAPA ILI TUACHE KU2MIA PIRATED WIN 8

KARIBUNI
 
Mbona hiyo ya ku activate kwa kutumia keys zilizobandikwa juu ya kompyuta au laptop ndo hufanyika hivyo siku zote. Pia kwa mfano kama let say umeformat computer yako na hina cd za awali (Restore cd). Basi waweza kuinstall os kutoka kwenye media yoyote. The tembelea website ya windows key update na utumie the same key zilizoko kwenye computer yako. Note lazima os yako iwe ile iliyoko kwenye key. Imean kama una key za windows xp huwezi ku update win 7 n.k. TAtizo kubwa ambalo nimeliona ni mtu ananunu computer ina windows vista halafu anatoa anaweka xp au 7. Kwa maana hiyo hawezi kutumia key ya vista aliyo nayo ku activate hizo.

Lakini pia kwenye sehemu yako ya pili imeonyesha kuwa ume upgrade kutoka stater kwenda ultimate. Kwa kuwa ulikuwa na key ya stater, tegemea kupata warning ya not genuine soon . Itabidi ufanye key update uingize key za iltimate.
 
nimekusoma lkn hiyo point yangu ya mwisho ambayo nimeandika kwa herufi kubwa ,,,vp is it logical?
 
Back
Top Bottom