Habari zenu wakuu!
Nina laptop yangu aina ya Samsung spec. zake ni 1.7ghz,2gb ram,300gb HDD imekuja na windows 8 nataka niiuninstall window 8 niweke window 7 coz windows 8 co userfriend kwangu,sasa kila nikiweka cd ya window 7 na kuboot laptop haiisomi cd nikajarib kuiacha hadi istart then nikarun cd kupitia kwenye my computer inaload kidogo inaonyesha inaanza system configuration,startup hlf inaleta error kwamba niirestart iboot tena ikiboot tena cd haiisomi,nikaingia kwenye bios kuchange boot order ianze cd lakini wapi imegoma,naomba mnijuze au kuna ki2 Microsoft wamefanya kwenye w8 tusiinstall naomba mnisaidie hili tatizo ni Mara yangu ya 1 ku2mia w8!!!!
natanguliza shukrani