Nimekwama kwenye kuomba mkopo HESLB

Nimekwama kwenye kuomba mkopo HESLB

Joined
Jul 31, 2023
Posts
72
Reaction score
48
Jamani nimekwama kwenye hiki kipande kwenye kuomba mkopo, naomba msaada maana napiga simu za HESLB hazipokelewi.

Shida hapa mimi sikuwa sponsored o level, nataka ku reverse application nashindwa. Form iko submitted so nafanyaje kwani hawewezi kunifungulia nikarekebisha hiyo sehemu jamani naomben ushauri.

IMG_5791.png
 
nipo mbal kwel kwel hakuna msaada mwingine tofauti na kwenda kweny ofisi zao
 
Kama hujapata nikupe namba binafsi ya mfanyakazi wa huko labda anaweza kukusaidia
 
Jamani nimekwama kwenye hiki kipande kwenye kuomba mkopo, naomba msaada maana napiga simu za HESLB hazipokelewi.

Shida hapa mimi sikuwa sponsored o level, nataka ku reverse application nashindwa. Form iko submitted so nafanyaje kwani hawewezi kunifungulia nikarekebisha hiyo sehemu jamani naomben ushauri.

View attachment 2773268
Ushawahi kupata scholarship?
 
1696595433023.png

Hiyo ni ya kijana wangu jaribu mkuu kuwasiliana nao wanajibu kupitia email
 
Jamani nimekwama kwenye hiki kipande kwenye kuomba mkopo, naomba msaada maana napiga simu za HESLB hazipokelewi.

Shida hapa mimi sikuwa sponsored o level, nataka ku reverse application nashindwa. Form iko submitted so nafanyaje kwani hawewezi kunifungulia nikarekebisha hiyo sehemu jamani naomben ushauri.

View attachment 2773268
pole sana kijana. nchi hii haina priority. safari kadhaa nje ya nchi na hapa nchini za sa100 ukijumlisha hiyo ya india ambako hajarudi na mpunga wowote, imegarimu pesa ambayo ingesomesha watoto zaidi ya 500 chuo kikuu hadi wanamaliza. kwasababu naamini kwa miaka 3 mwanafunzi mmoja chuo anaweza kutumia si zaidi ya milioni 20. milioni 20 x wanafunzi 500 = 10billion. jiulize tu convoy ya rais jumlisha ndege jumlisha hotel wanazokodi siku zote wanakaa nje, uarabuni ameenda mara nyingi mno ndani ya mwaka huu huu, haijafika hiyo 10b? amechuma nini out of those safariz? manake angebaki tu atumie kwa umakini hizo hela wanafunzi 500 wangepata mkopo wa 20m kwa miaka yao yote 3.
 
Ndio hivyo viongozi hawana maarifa hawataki wakosolewe wanafanya kazi kwa sifa
 
Back
Top Bottom