Nimekwama kununua Kitu Mtandaoni.

Nimekwama kununua Kitu Mtandaoni.

Ramlis

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
612
Reaction score
532
Leo nimeingia ebay kununua motherboard ya laptop Toshiba Satellite pro A120, nikaipata inauzwa dolla 36.38 kupitia hii link baada ya kufuatilia maelezo ya muuzaji nikaona hatumi kwenye PO BOX. Sasa wanajukwaa naomba mwenye kujua namna nyingine ya kupata address tofauti na PO BOX au jinsi ya muuzaji kukutumia kupitia DHL.
 
fungua address ya USA aitume huko kisha wapokeaji wataituma kwako.....kuna usgobuy.com au myus.com....usgobuy wanatoa 60 days za free storage myus wanatoa 6 days baada ya muda tajwa utalipia kila cku 1$ ya storage....maelezo zaid tembelea website husika....ziko nyingi Ila izo mbili ndio ninazotumia.....
 
salaniatz Lakni kwa njia hiyo si gharama inaongezeka tena na wao unawalipa kwa utaratibu upi?
 
Back
Top Bottom