nimekwama ku-start pes 2013 msaada tafadhali

john hotsam da1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
396
Reaction score
79
Habari za muda huu wakuu,nimeshusha pes 2013 toka kat.ph nimekamilisha installation nikitaka ku start game inasema...the dynamic library "rld.dll"" failed to load.... Nikapitia net nikaona unatakiwa uwe na software flani 'directX' nimeinstall nikainstall na game upya lakini wapi,msg ni ile ile,msaada tafadhali
 
hapana kaka sio direct x hio ndio crack aka kichakachuo niliwahi pata tatizo kama hilo sema nikakuta windows defender kalila kalieka kwenye quarantine. nikarestore na kuipiga marufuku ant virus isiguse hilo folder.

cha muhimu hapo open antvirus yako itafute quarantine humo ndani ya antvirus utaliona hilo file kwanza litoe kwa kulipa permision kama file zuri halafu restore. ukimaliza litarudi lenyewe kwenye game halafu utaona game linacheza
 
Nimefanikiwa mkuu,ahsante sana

Similar Discussions

Back
Top Bottom